Tazama picha hii vizuri ugundue viongozi wetu walivyo waoga

Headphone + mic zimewekwa extra protection kama mask kipindi cha korona. Wasiwasi ndio akili zenyewe. Hiyo tunaiita "be prepared at all cost, you never know"
 
Hawa ni wataalamu wa majanga ya namna gani mkuu,ama wako ktk anga la Hanang wakitafuta namna ya kupunguza athari za janga kitaalamu?

Naona km wana vifaa sitahiki kabisa vya kitaalamu nadhani km hawatokei chuo flani km team ya kutatua tatizo basi huenda wametokea hapo SA maana inasemekana hapa Africa wana ongoza kuwa na wataalamu wa majanga ya namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…