Tazama picha hii Ya Luhaga Mpina kwa umakini halafu uniambie muandishi alitaka kutoa ujumbe gani?

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii.

Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20240618-103852.png
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii.

Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3019863
Mbozi mnanua sukari shillingi ngapi kwa kilo?
 
Ni akili kubwa kukumbatia wazalishaji na viwanda vya ndani maana hutoa ajira Kwa Watz na kulipa Kodi.

Na ni vibaya kukumbatia sukari ya Brazil yenye msamaha wa Kodi, yenye kuleta cancer, magonjwa ya ini sababu ni fake, GMO.

Kufurahia Kagera sugar kukosa wateja , kwamba viwanda vifungwe ni kosa linalostahili waziri kufungiwa jela.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii.

Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3019863
Huku Kusini wananchi wanabubujikwa kwa machozi ya huzuni kwa jinsi wanavyoibiwa na hao mnaowaita viongozi wakati ni wanyang'anyi.

Pia wanabubujikwa machozi ya furaha kuona kumbe pamoja na kuwa na bunge lisilo na uhalali wa uwakilishi halisi wa wananchi, bado kuna mbunge mmoja anayewasemea wananchi.
 
Waambie hao wananchi kuwa Taifa letu linaongozwa na mzalendo wa kweli na dhati Mheshimiwa Rais Samia .hivyo wasiwe na wasiwasi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii.

Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3019863
Bado Hilo halihalalishi wizi wa Bashe na Wahuni wenzake!

Umefuzu kusifu na kuabudu Sasa unajikita kutetea wizi.

Wewe ni UCHAFU Tena UNAONUKA.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii.

Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3019863
Mpina ana hoja asililizwe na aungwe mkono
 
Sisi tunachotaka kusikia na kuona ni tatizo la sukari kuisha, maana tunaona ni ujinga na upumbavu kuwa na shida ya sukari + mabei makubwa ilihali tuna maeneo yakuweza kuinvest na kulima miwa na kuweka viwanda vya sukari.

Haiwezekani nchi iliyopata uhuru 1961 eti mpaka Leo inajadili issue ndogo kabisa ya sukari, tulianzia enzi za Mwinyi kwenye sakati la IDDI SIMBA mpaka Leo eti tunahangaika na sukuri na hakuna juhudi zozote strong za kumaliza tatizo na kuhakikisha Bei inakuwa ndogo.

Mwamba, Chuma, Rais wa kweli Tanzania hii JPM aliliona hili akawashurutisha NSSF kujenga kiwanda cha sukari pale Mkulazi na kumpa eneo bure Bakhressa ajenge kiwanda Bagamoyo sugar - Hii ndio ilikuwa nia ya dhati na strong decision ya kufikiria kulimaliza tatizo na sio hizi SARAKASI ZA KITOTO ZA KUWASLAVE WATANZANIA.

Watu wenye akili huwa wanawaza permanent solution na sio sarakasi na siasa za kijinga, RAIS kwa kutumia mamlaka yake huko anakokwenda Korea, USA nk angeweza kupata investors na kuja kumpa eneo bure kabisa alime na kuzarisha sukari kwa Capacity itakayoziba gap la demand ya sukari. Kama hilo limeshindikana bado RAIS angewafinance wazarishaji wakubwa wa sukari waboost up production to the required capacity, lakini pia angeweza kuziwezesha taasisi kubwa kama NSSF kuinvest huko baadala ya white elephants real estate projects, au angeweza kuanzisha shirika la sukari la Taifa akatoa eneo la bure, akawafinance na kuoutsource operations zote Kwa watu wenye skills na knowledge.
 
Dawa ni kumaliza kabisa tatizo la sukari kwa kufanya yale yamsingi yanayopaswa kufanywa, hizi nyingine ni blah blah tu.

Ina maana mpaka leo na ziara zote tumekosa investors wa uhakika wakuwekeza kwenye biashara ya sukari kwa kujenga kiwanda/viwanda tuzibe gap na kubalance Bei?
 
Jamani huyu mwanshamba siju mshamba apewe hata utendaji serikali ya kijiji.

Maana he is so desperate hasa ungizingatia wazee wa mfumo hawamzingatii 🤣🤣🤣

Humu tumechoka mabandiko yake yasio n kichwa wala miguu 🙌🏽
 
Kwa nin Watanzania tunaibia hivi. Viongozi wanajineemesha kupitia migongoni mwetu.
 
Huku Kusini wananchi wanabubujikwa kwa machozi ya huzuni kwa jinsi wanavyoibiwa na hao mnaowaita viongozi wakati ni wanyang'anyi.

Pia wanabubujikwa machozi ya furaha kuona kumbe pamoja na kuwa na bunge lisilo na uhalali wa uwakilishi halisi wa wananchi, bado kuna mbunge mmoja anayewasemea wananchi.
Poleni kwa kububujikwa na machozi ya Uchungu !
Na Hongereni kwa kububujikwa na machozi ya furaha mnapopata mbunge anayewatetea huko Mjengoni 🙄👍
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii.

Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3019863
Majizi na mafisadi mna mshikamano sana
 
Jamani huyu mwanshamba siju mshamba apewe hata utendaji serikali ya kijiji.

Maana he is so desperate hasa ungizingatia wazee wa mfumo hawamzingatii 🤣🤣🤣

Humu tumechoka mabandiko yake yasio n kichwa wala miguu 🙌🏽
Mimi sitafuti uteuzi hapa jukwaani ndugu yangu mtanzania
 
Back
Top Bottom