Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Mbozi mnanua sukari shillingi ngapi kwa kilo?Ndugu zangu Watanzania,
Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii.
Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3019863
Jikite kwenye hoja. Kama unataka sukari ya Mbozi basi panda basi mpaka mbozi ununue.Mbozi mnanua sukari shillingi ngapi kwa kilo?
Huku Kusini wananchi wanabubujikwa kwa machozi ya huzuni kwa jinsi wanavyoibiwa na hao mnaowaita viongozi wakati ni wanyang'anyi.Ndugu zangu Watanzania,
Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii.
Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3019863
Waambie hao wananchi kuwa Taifa letu linaongozwa na mzalendo wa kweli na dhati Mheshimiwa Rais Samia .hivyo wasiwe na wasiwasi.Huku Kusini wananchi wanabubujikwa kwa machozi ya huzuni kwa jinsi wanavyoibiwa na hao mnaowaita viongozi wakati ni wanyang'anyi.
Pia wanabubujikwa machozi ya furaha kuona kumbe pamoja na kuwa na bunge lisilo na uhalali wa uwakilishi halisi wa wananchi, bado kuna mbunge mmoja anayewasemea wananchi.
Bado Hilo halihalalishi wizi wa Bashe na Wahuni wenzake!Ndugu zangu Watanzania,
Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii.
Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3019863
Mpina ana hoja asililizwe na aungwe mkonoNdugu zangu Watanzania,
Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii.
Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3019863
Wezi na mafisadi wana solidarity kubwa sanaBado Hilo halihalalishi wizi wa Bashe na Wahuni wenzake!
Umefuzu kusifu na kuabudu Sasa unajikita kutetea wizi.
Wewe ni UCHAFU Tena UNAONUKA.
kwahio ushupavu nikuuza sukari beijuu?Waambie hao wananchi kuwa Taifa letu linaongozwa na mzalendo wa kweli na dhati Mheshimiwa Rais Samia .hivyo wasiwe na wasiwasi.
Poleni kwa kububujikwa na machozi ya Uchungu !Huku Kusini wananchi wanabubujikwa kwa machozi ya huzuni kwa jinsi wanavyoibiwa na hao mnaowaita viongozi wakati ni wanyang'anyi.
Pia wanabubujikwa machozi ya furaha kuona kumbe pamoja na kuwa na bunge lisilo na uhalali wa uwakilishi halisi wa wananchi, bado kuna mbunge mmoja anayewasemea wananchi.
Majizi na mafisadi mna mshikamano sanaNdugu zangu Watanzania,
Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii.
Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3019863
Mimi sitafuti uteuzi hapa jukwaani ndugu yangu mtanzaniaJamani huyu mwanshamba siju mshamba apewe hata utendaji serikali ya kijiji.
Maana he is so desperate hasa ungizingatia wazee wa mfumo hawamzingatii π€£π€£π€£
Humu tumechoka mabandiko yake yasio n kichwa wala miguu ππ½