Tazama picha ya nyumba ya Obama

Tazama picha ya nyumba ya Obama

Hii nyumba yake nyingine kainunua hajajengewa na Serikali anaishi hapo kisiwani (Martha vineyard) Kuna hali ya hewa Safi imezungukwa na bustani Ina vyumba 7 kila chumba na bafu lake, hekari jumla zipo 29.

Mara nyingi walikuwa wakienda majira ya summer kutembelea na mke wake kipindi bado wako white house.Hata bill na Hillary cliton nyumba Yao ipo maeneo Kama hayo tulivu.

Nyumba hii ya Obama ilijengwa 2001 na Obama aliipangisha 2019...2015 thamani yake ilikuwa $22.5m...na hapo thamani yake imepungua maana imejengwa kwa $44.5m ina garage Ina kila kitu mpk pool la kuzunguka na boat.

Mwaka 2021 Mimi ndege John nilipata nafasi ya kuitembelea nyumba hii katika mtandao.

View attachment 1779440View attachment 1779442
Duh, kama ulipata nafasi ya kuitembelea mtandaoni basi kuna Watu mmezaliwa na bahati zenu.
 
Hii nyumba yake nyingine kainunua hajajengewa na Serikali anaishi hapo kisiwani (Martha vineyard) Kuna hali ya hewa Safi imezungukwa na bustani Ina vyumba 7 kila chumba na bafu lake, hekari jumla zipo 29.

Mara nyingi walikuwa wakienda majira ya summer kutembelea na mke wake kipindi bado wako white house.Hata bill na Hillary cliton nyumba Yao ipo maeneo Kama hayo tulivu.

Nyumba hii ya Obama ilijengwa 2001 na Obama aliipangisha 2019...2015 thamani yake ilikuwa $22.5m...na hapo thamani yake imepungua maana imejengwa kwa $44.5m ina garage Ina kila kitu mpk pool la kuzunguka na boat.

Mwaka 2021 Mimi ndege John nilipata nafasi ya kuitembelea nyumba hii katika mtandao.

View attachment 1779440View attachment 1779442
Huu ndio utamu wa pesa, naipenda sana
 
Sasa HEKARI ndiyo nini? Kwenye vipimo vya maeneo sijawahi kuona neno HEKARI bali najua neno EKARI.
The hectare (/ˈhɛktɛər, -tɑːr/; SI symbol: ha) is a non-SI metric unit of area equal to a square with 100-metre sides (1 hm2), or 10,000 m2, and is primarily used in the measurement of land. There are 100 hectares in one square kilometre. An acre is about 0.405 hectare and one hectare contains about 2.47 acres.

Eka na Hekari.
Hivi vitu tulifunzwa darasa la nne au la tano kwa mtaala wa wakati huo, sijui kwa elimu ya sasa wanafundishwa darasa gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona sioni mabanda ya kuku na ya ng'ombe,au yeye baada ya kustaafu afanyi ujasiriamali??
 
Back
Top Bottom