Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Hapo inaonyesha destination (kwamba utumwa wa nchi umekomeshwa) na pili kusema mtu mmoja ameokomesha tena ambae hayupo kwa sasa inaweza kuleta ukakasi,
Tatu naweza kukwambia haujakomeshwa na sasa hivi ndio kuna utumwa wa fikra ambao ni maradufu...
Nadhani wimbo wa Taifa haongelei destination bali continuotion ya mambo kwahio yaani una hope kuendelea kupata baraka.... ila tukija kwenye tune nadhani hakuna wimbo bora kwa sauti kama Italin Anthem ingawa lyrics zake leaves a lot to be desired.... (Hao ndio ungewashauri wabadilishe lyrics ziendane na 21st century); Ingawa likipigwa kabla ya mechi na timu yoyote pinzani lazima upandishe mzuka na morali....
View: https://youtu.be/vU_-IvNbfQ0?si=nF4V3rMINXxt78W3