Tazama Video hii, nini maoni yako kuhusu tukio hili la dereva wa Rolls-Royce na Trafiki

Kuna video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha namna jamaa mwenye gari la kifahari akipigwa mkono na trafiki asimame lakini jamaa amegoma kusimama na kumuacha trafiki akipigwa na butwaa.

Nauliza jamaa kashakamatwa au bado? Huyu jamaa ingekuwa enzi ya jiwe angekuwa kashabanwa kend*
 
mbona ist na passo ndo zinaongoza kwa ukaidi barabarani lakini sijawahi kuona mkiposti?

nonsense
 
Ukiwa na pesa unakuwa juu ya sheria Kwa Nchi hii ya TZ.sasa wewe jichanganye na ka ist kako kukataa kusimamia uone watakavyokuzongazonga askari.
 
Bima inasomeka kalipia Mill 55.. ila haifiki juma Tano hajakamatwa naona wanamsangia kunguni.. ajisalimishe mambo yaishe
 
Trafiki ukiamua kusimama ama kujiendea ni wewe mwenyewe...! Hakuna Sheria inawaruhusu kukutoa barabarani kwa ajili ya ukaguzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…