Tazama Video hii, nini maoni yako kuhusu tukio hili la dereva wa Rolls-Royce na Trafiki

Tazama Video hii, nini maoni yako kuhusu tukio hili la dereva wa Rolls-Royce na Trafiki

Kavunja sheria ya nchi au ya barabarani ?
Traffic police nao wamezidi, kila gari lazima walisimamishe kukinga maokoto
 
Trafiki ukiamua kusimama ama kujiendea ni wewe mwenyewe...! Hakuna Sheria inawaruhusu kukutoa barabarani kwa ajili ya ukaguzi!
Ila ana mamlaka ya kusimamisha gari yoyote kisheria, na sio trafiki Tu Bali polisi yoyote. Hii imekaaje kwa upande wako!?
 
Kuna kiongozi mmoja wa nchi wa awamu zilizopita, alikuwa akitaka kula bata kama raia bila ving'ora na mashushushu, alikuwa na kiota chake maeneo ya Mbezi Beach, hiyo kiwanja siju hiyo itafungwa kuwa hakuna huduma, kumbe ndani yuko mzee mwenyewe na washkaji zake. Gari ilikuwa inaingia hapo fulu tinted na haina msafara.

Sasa unawezakuta hiyo gari ndani kuna mhusika anaenda mahala nyeti na akifungua vioo wote tutapigwa butwaa kama wale wauza madafu wa ocean Road.
 
Ila ana mamlaka ya kusimamisha gari yoyote kisheria, na sio trafiki Tu Bali polisi yoyote. Hii imekaaje kwa upande wako!?
Magari mengine siyo ya kusimamisha,hiyo trafiki atakuja vuliwa utrafiki Ili akalinde benki
 
Kwanza ukiangalia kwa umakini traffic hajaipiga mkono ila kaonesha ishara ya kumuonya nazani wakat gari inakuja kuna kitu driver alikifanya nyuma traffic akamuonya kwa kidole msipotoshe umma tuna macho yanaona vyema
Yeah!....umeona vyema
 
Ila ana mamlaka ya kusimamisha gari yoyote kisheria, na sio trafiki Tu Bali polisi yoyote. Hii imekaaje kwa upande wako!?
Ni kweli... Hayo mamlaka unayosema yapo kisheria... Lakini kuna vigezo, viashiria au hatua za kufuata kabla ya askari kulisimamisha gari!
Hawa wa kwetu wanajiamuliaga tu ghafla kwa kunyoosha mkono!
Zaidi soma Ibara ya 81 ya Sheria za Usalama Barabarani...
Kuna vigezo vimeainishwa lazima askari avifuate!
Kama gari lako liko vizuri kamili gado wewe chapa mwendo!
 
Back
Top Bottom