Tazama video hii polisi wakimpiga virungu muumini wa kanisa la Askofu Gwajima

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Askari wa Jeshi la Polisi wakivutana na waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima waliokuwa wakisali katika kanisa lililopo pembeni kidogo mwa Barabara ya Morogoro.

Askari walifika jirani na kanisa hilo ambapo waliwakuta waumini wakiwa wanafanya ibada kisha ndipo walipoanza kuwaamuru kutoka kutawanyika na pale ubishani ulipotokea baina yao muumini mmoja ameonekana kutiwa nguvuni.

Your browser is not able to display this video.
 
Ni kwamba watu wanaogopa kesi za mateso tu lakini hamna policcm wakipigana na raia humo.
 
Kuna kiongozi mpumbavu sana.
 
Yaani wakristo ni wanafiki sana ,ingekuwa msikiti umefungwa 🔥🔥🔥 ila wakristo unafiki umewazidiiiiii
 
Ila ukimtegemea Mungu sijui Yesu mbele ya haya majaa yatakuua, bora ukakimbia ukaokoa roho yako Mungu ukamtegemee mbele ya Safari... Mambo yakuita Yesu huku Manyamera yameshika Marungu na bunduki sio poa kabisa..
 
Mbona Gwajima yuko anachukua fomu CCM!
 
Hivi wakiachwa wakasali kuna shida gani? Mbona hii nchi ina matatizo mengi sana ya kushughulikia na hata siyo kuzuia watu wanaoenda kumuomba Mungu wao?

Yaani polisi wamefanyiwa reforms mishahara yao, watapiga watu hata kuuwa dunia ikiona. Si nzuri hii, wametegea mwaka wa uchaguzi ili wapige watu!!!
 
Serekali ina wivu na amri zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…