Tazama video hizo: Is Diamond Platnum a crackhead?

we jamaa mungu anakuona na speculation zako za kijinga. i have seen nothing wrong in the videos.

mimi huwa simkubali diamond na majanga yoyote atakayopitia kwangu itakuwa furaha. ila kwa hili umetupiga na kitu kizito kichwani.
Yani utafurahi binadamu mwenzako akipata matatizo!! Hii nchi watu wenye matatizo ya akili ni wengi sana
 
we jamaa mungu anakuona na speculation zako za kijinga. i have seen nothing wrong in the videos.

mimi huwa simkubali diamond na majanga yoyote atakayopitia kwangu itakuwa furaha. ila kwa hili umetupiga na kitu kizito kichwani.

Huna akili wewe zaidi ya chuki za kipumbavu

Na hii ndio sifa kuu ya maskini,,, chuki kwa wanaokuzidi
 
Humu Jamii Forums haters wa mjomba tunawajua.
 
Back
Top Bottom