Pre GE2025 Tazama Video Watu wamiminika na kufurika kwa Rais Samia mpaka Aamua kujipiga picha kwa furaha

Pre GE2025 Tazama Video Watu wamiminika na kufurika kwa Rais Samia mpaka Aamua kujipiga picha kwa furaha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Haya ni mahaba kwa Rais Samia ambayo watanzania wanampatia Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Hii haijawahi kutokea popote pale Barani Afrika kwa Kiongozi kupendwa kiasi hiki mpaka watu wanaishiwa nguvu za kusimama kutokana na kuzidiwa na furaha na upendo kwa Rais Samia. Kwa hakika Rais Samia ni chaguo la Mungu Mwenyewe.huyu siyo mtu wa kawaida.katika jicho la kiroho inaonyesha namna Mungu alivyo pamoja na Rais Samia.


Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Alianza kuweka namba ya simu, sasa hivi anaweka majina yake matatu yote, soon tutarajie namba yake ya NIDA ila jamaa wamemfungia vioo kama hawamuoni.

Wakiendelea kumpuuza atafungua ID mpya aje kuwatukana humu kama hajafungua bado.
Mimi Sitafuti uteuzi ndugu yangu.mimi ni Mzalendo naye fanya kazi kwa kujitolea na kwa hiyari kabisa
 
Back
Top Bottom