A Father
JF-Expert Member
- Nov 11, 2012
- 1,219
- 380
Maoni, ushauri kwa Mama yetu kipenzi Rais wa JMT ambaye ndiye mwenye serikali na mwenye mamlaka ya kutoa agizo lolote : kilio walioajiriwa 2014 kudai kupandishwa vyeo kama ilivyostahiki hakijasikilizwa, ni hivi 👉kufikia 2018 walipaswa kupanda vyeo kwa mara ya kwanza, kufikia 2021 walipaswa kuwa kwenye cheo cha pili, kufikia 2024 walipaswa kuwa kwenye cheo cha tatu, lakini ilivyo ni kuwa wapo kwenye cheo cha pili badala ya cheo cha tatu.