King klax JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 4,307 Reaction score 2,754 Nov 29, 2021 #21 dmkali said: Mti mmoja unakadiriwa kuchangia kuongeza afya na uhai wa mtu kwa asilimia 1%-2%! Inamaanisha binadamu tukiwekeza msituni tunaweza ongeza umri wa kuishi kwa asilimia kubwa sana! Click to expand... Tatizo ni haya yanayoongoza nchi
dmkali said: Mti mmoja unakadiriwa kuchangia kuongeza afya na uhai wa mtu kwa asilimia 1%-2%! Inamaanisha binadamu tukiwekeza msituni tunaweza ongeza umri wa kuishi kwa asilimia kubwa sana! Click to expand... Tatizo ni haya yanayoongoza nchi
D dmkali JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 11,793 Reaction score 22,552 Nov 29, 2021 Thread starter #22 King klax said: Tatizo ni haya yanayoongoza nchi Click to expand... Yamekuzuia kushika jembe kuchimba na kupanda mti? Hata mmoja?
King klax said: Tatizo ni haya yanayoongoza nchi Click to expand... Yamekuzuia kushika jembe kuchimba na kupanda mti? Hata mmoja?
INTROVERT MAN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 993 Reaction score 1,343 Nov 29, 2021 #23 Dunia imeumbwa kwa ajiki yetu. Nukta