Tazama viwanja vya Golf vilivyojengwa na J.Malinzi katika wilaya ya Missenyi


Safi sana mkuu nashukuru kwa kuwepo JF maana tungepotoshwa.

Kuna watu umu story za vijiweni kwenye kahawa wanazileta apa bila kuwa na uhakika.

Sasa nimeona umuhimu wa uwepo wako umu.
Kaz njema
 
Last edited by a moderator:
Badala awachimbie maji ya visima wananchi wamshukuru anajenga viwanja vya gofu si bora angekarabati viwanja vya mipira ktk shule za sekondari na msingi

Hivi jamani sisi waswahili tutajifunza lini kwamba maisha ni kutafuta? Kwanza I am happy even Dionizi and the entire family is involved in this project. Maana watu hamkawii kusema huyu bwana anatumia madaraka vibaya kwa kufisadi hela za TFF. Jamani ni kwa namna hii tunaweza kuendelea. Tupende kwetu. Unajua ni watu wangapi watavutiwa kwenda hapo kijijini? unajua fursa kiasi gani zitajitokeza kutokana na hii initiative? people will be employed,barabara zitaboreshwa, maji na umeme..vitafika (naamini vitakuwepo tayari), hata wengine waliolowea DSM na kwingineko watapenda kwenda kujenga kwao na kwenda likizo...... nk. Alot will happen.

Tujifunze ku-appreciate wenzetu. Tuache roho ya tukose wote.

J. Malinzi and family hongera sana. Mmenipa inspiration ya kufanya jambo zuri kama hili in my village.

Masanja
 

Ni jambo jema mkuu;
Tatizo kubwa la baadhi ya watu wetu ni kupenda kukosoa kila kitu; si vibaya kwa mtu wa mpira kuwa mshabiki wa michezo mingine. Hata wachezaji wa soka barani ulaya huwa wanahudhuria michezo mingine kama vile tennis, n.k. Hata mchezaji Obi Mikel ana 'uwanja' wa basketball nyumbani kwake London na wengine wengi tu wana michezo mingine wanayopenda. Hujakosea.

If you want to stand for the truth you will always stand alone.🙂
 
Tujifunze ku-appreciate wenzetu. Tuache roho ya tukose wote.

J. Malinzi and family hongera sana. Mmenipa inspiration ya kufanya jambo zuri kama hili in my village.

Masanja
Tatizo la haya maendeleo ukiyafanya maeneo mengine unaweka maisha ya jamii yako mashakani. Maana wanasema baadhi ya maeneo ya nchi hata ukilala kwenye nyumba ya bati ni kujidai 🙂. Sijui kama hilo jina kwenye red linaqualify na maeneo hayo. Kweli Kagera inaelekea ni pazuri hata kwenye picha tu.

 
we pimbi unajifanya unajua kila kitu. Umeona mzee malinzi alivyokushushua hapo juu.

Wewe zuzu katafute bwana mbele uko nyambafu wewe, mleta mada alipotosha kwa kusema hii ni Project ya Jamal Malinzi in personal kitu ambacho si kweli, na kwa mtoto wamjini yeyote anajuwa ukwasi alionao Dioniz na ni mwenyekiti wa chama cha golf Tanzania pia siyo mtu wa mbwembwe na kujitangaza.

Wewe umekuja mjini na mbio za mwenge tuliza makalio yako hujui lolote.
 

Mkuu kuna tatizo gani ukikubali uliwapotosha watu?
 
Badala awachimbie maji ya visima wananchi wamshukuru anajenga viwanja vya gofu si bora angekarabati viwanja vya mipira ktk shule za sekondari na msingi

ww na akili yako ya kushikiwa kalale mbele ww umechimba vingapi?
 
Kwani angejenga au kuboresha viwanja vya soka ambalo linachezwa na kila aina ya mtu/kijana awe maskini au tajiri, kungekuwa na makosa? Unadhani gofu wanacheza vijana wangapi hapo misenyi? Mnunulie mwanao vifaa vya gofu akacheze uone gharama za hivyo vifaa kama unadhani ni bei rahisi.

 
kwani huo uwanja hapo misenyi utawafaidisha vijana? Zaidi watacheza watu wenye pesa wewe maskini utaenda kukenua meno tu na kuwaangalia lakini ingekuwa uwanja wa soka vijana wangekuza vopaji na hata kuachana na michepuko.

Wewe umeifanyia nini jamii? Vipi shule uliyosoma umeifanyia nini? Anza wewe ndipo ndugu malinzi afuate!
 
Badala awachimbie maji ya visima wananchi wamshukuru anajenga viwanja vya gofu si bora angekarabati viwanja vya mipira ktk shule za sekondari na msingi

Wewe ni kichaa, akina Malinzi wachimbe visima vya maji kwa ajili ya wananchi kwani akina Malinzi ni JMT. Hizi division five zimedidimiza kabisa uwezo wa vijana wa siku hizi kufikiri. Hivi umewahi kumuona Dioniz Malinzi au Jamal Malinzi anakusanya kodi mahala popote za kujengea visima unavyotaka au kutoa huduma za kijamii. Wewe hicho kisimu chako ulichotumia kupost humu kwa nini usingeacha kukinunua na kununua kopo la Panadol na kupeleka kwenye zahanati ya kijijini kwenu? Kifupi ni kuwa matumizi ya hela ya mtu yanaendana na utashi binafsi.

Nchi yetu inahitaji akina Malinzi wengi ili tuwe na viwanja vizuri vya golf na siku moja tupate kitu kama Formula One Circuit hapa Tanzania, umaskini wetu sio wa laana, ni uvivu na mawazo finyu kama ya huyu jamaa.
 
We ndiyo chizi tena unafikiria kwa kutumia makalio, unadhani kusaidi wananchi haswa kule kijini kwenu au ulipozaliwa siyo jukumu lako ni la serikali tu! Kwani ukisaidia huoni kuwa wananchi watakuwa wanakukumbuka kwa kwa matendo yako mema kwao? Badilika usidhani ukiwa na pesa huwezi kusaidia watu!!!!!!

 

Kiongozi huo uwanja ''wetu'' ni HOLES ngapi??

Je kila mtu anakaribishwa kujiunga na Golf Club ya huko au ni kwa wateule tu
 

Kimsingi bwn Matola umeumbuka..na watu wengi hawapendezwi na tabia yako ya kujifanya kila nyanja upo..unakera..we ndiye mjuaji wa kila jambo kumbe ni TABULALAZA zeefu! JIREKEBISHE muda si mrefu watu wataanza kuku enjoy kama W. J. Malecela soma alama za nyakati NYUMBU WEWE
 
Last edited by a moderator:

Ukiwa na mawazo ya kiomba omba kama wewe ni vigumu sana nchi kuendelea. Huwezi kusubstitute uwanja wa Golf na visima vya maji wewe fa.la. Kazi ya kutoa huduma za jamii ni ya serikali na kama mtu akijitolea ni kwa utashi binafsi. Mawazo ya kibwabwa kama yako ndio yamefanya nchi izidi kuwa maskini.
 
kwani huo uwanja hapo misenyi utawafaidisha vijana? Zaidi watacheza watu wenye pesa wewe maskini utaenda kukenua meno tu na kuwaangalia lakini ingekuwa uwanja wa soka vijana wangekuza vopaji na hata kuachana na michepuko.

Malinzi amefafanua kuwa hicho ni kitega uchumi na kivutio cha watalii, lakini wewe division five huelewi. Unataka tuwavutie watalii kwa kutumia makalio yako au?
 
Badala awachimbie maji ya visima wananchi wamshukuru anajenga viwanja vya gofu si bora angekarabati viwanja vya mipira ktk shule za sekondari na msingi

cjui watu wengine tuwaiteje nikikuuliza kabila gani watasema ni ukabila huo.Jaribu kutembea kidogo hv nani kakwambia W.ya Missenyi ina shida ya maji kama Kakola,Msalala,Segese na maeneo mengine ya mkoa wa shinyanga? Tatizo la Kagera ni bei ya Kahawa jambo ambalo Malinzi co mhusika.
 

Owaishe, achana nao hawajui historia ya Malinzi family. Tunafanya mambo kama familia moja na hakuna individualism! Hiyo ni mali ya Malinzi family (Ta Emily) iliyopatikana kwa nguvu ya wote. Matola, after all these are private affairs!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…