magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Unatetea nini sasa,utakula golf au utakunywa golf? Hlf mwenyewe ame declare kwamba ni kitega uchumi cha family yao sio cha community, we VP?
Kha! We jamaa niaje? Kitega uchumi cha familia yake ndio!! We kinachokuuma nini?? Nawe unaweza ukaishawishi familia yako mjenge kiwanja cha mpira wa miguu kama unaona golf huna interest nayo.