Owaishe, achana nao hawajui historia ya Malinzi family. Tunafanya mambo kama familia moja na hakuna individualism! Hiyo ni mali ya Malinzi family (Ta Emily) iliyopatikana kwa nguvu ya wote. Matola, after all these are private affairs!
Jamani tuache mambo ya ajabu, mwenyewe ameshasema hicho ni kitega uchumi cha familia sie tunang'ang'ania mara achimbe visima, mara ajenge viwanja vya mpira etc, etc...lol🙂
Kama ni kitega uchumi cha familia, then aliyeanzisha hii thread asifanye ionekanye sivyo.
Vinginevyo ataonekana anatumika tuu kama waandishi wengine wa habari tuliowazoea.
Pia kama ni private affairs, kwa nini then waje kutanganza kwenye public forums?
Imagine kila mtu angekuja kutangaza vitega uchumi vyao binafsi humu ingekuwaje?
Unless ni tangazo la biashara ambapo kuna forum yake, private affairs should always remain private lakini kama ukiamua kuweka maisha yako binafsi humu jiandae kuwa scrutunized positively or negatively na watumiaji wa forum.
Further, heading ya thread is completely misleading na sijui kama hili limefanywa kwa makusudi or innocently, though aliyeleta hii "private affairs" kwenye "public forums" ni mwandishi wa habari.
Of course,
Matola ametumia lugha kali, but hey this is a public forum and don't expect to be treated differently simply because una stutus fulani kwenye jamii au jambo linalojadiliwa is your "private affairs".
When you bring your "private affairs" to be discussed in this public forum prepare to expect the unexpected.