Tazama viwanja vya Golf vilivyojengwa na J.Malinzi katika wilaya ya Missenyi

Tazama viwanja vya Golf vilivyojengwa na J.Malinzi katika wilaya ya Missenyi

yaani hata mimi nimefurahi sana hiki kijamaa kijinga sana kinajifanya kila kitu kinajua anazungumza alafu ndo kanafikiria badala ya kufikiria kwanza kabla ya kuzungumza...poor her,sory him.

Oyaa msimlaumu sana Matola huyu ana matatizo kiafya kiakili kimwili kiroho mpaka kiuchumi sasa u can imagine yaani mi huwa namfananisha Matola na sigara... sigara kila mtu anajua ina madhara lakini bado watu wanavuta sasa na kwa hapa JF kila mtu anajua kama huyu Matola ni uchafu usiyo na tone la faida still watu wanamsoma kahtaan Ritz Karucee
 
Last edited by a moderator:
changamoto hapo ni kwa jinsi gani uwanja huo unaandaliwa uwe na tija siku za usoni/uzalishe vipaji badala ya nyasi
 
Hapo mfagizi, mkata majani, mlinzi, mpishi, caddie................ ni wa lile kabila letu @jamal malinzi
 
Mkuu Jamal Malinzi

Umeninyooshea huyu nguchiro shukran sana, kweli JF kiboko, tutakutana Gymkhana Club, nimecheka sana leo, teh teh teh.

Wewe unadhani Gymkhana wanagawa pilau pale? leo ijumaa nenda kapange foleni kwa Bakhresa na ombaomba wenzako wavaa vipedo kima wewe.
 
Last edited by a moderator:
Oyaa msimlaumu sana Matola huyu ana matatizo kiafya kiakili kimwili kiroho mpaka kiuchumi sasa u can imagine yaani mi huwa namfananisha Matola na sigara... sigara kila mtu anajua ina madhara lakini bado watu wanavuta sasa na kwa hapa JF kila mtu anajua kama huyu Matola ni uchafu usiyo na tone la faida still watu wanamsoma kahtaan Ritz Karucee

lakini matatizo ya akili kwa baadhi ya watu si yanapona kwanini asiepelkwe muhimbili au milembe?
 
Last edited by a moderator:
Hawa ndio waBongo bana hela ya mtu wanampangia nini cha kufanya, mtu anaanzisha mradi wake na ni uwekezaji maana kuna hotel pia,,mkumbuke na haohao waTz watapata ajira lakini bado tunasumbuliwa na roho za kwanini.

Lalamikia Serikali yako imeshindwa kupeleka visima huko kijijini kwenu lakini inatoa Posho ya laki3 kwa siku.
 
Gofu Tanzania si tunadanganyana tu, hebu niambie hapo misenyi kijana gani anacheza gofu au na wewe unafiria kwa kutumia makalio.

Umeshajibiwa kuwa hicho ni kivutio cha kitalii.... kwan tz kuna vivutio vingapi mbona wazawa hamwendi kwa wingi kuvitembelea? Acheni wivu wa kike...

Nyie ndo tunasikia mkijenda nyumba ya bati vijijini kwenu mnarogwa.
 
kwani huo uwanja hapo misenyi utawafaidisha vijana? Zaidi watacheza watu wenye pesa wewe maskini utaenda kukenua meno tu na kuwaangalia lakini ingekuwa uwanja wa soka vijana wangekuza vopaji na hata kuachana na michepuko.

Ndiyo maana ukajibiwa hicho ni kitega uchumi, mtu katafuta pesa zake usimpangie matumizi au namna ya kuwekeza. Nyambafu
 
We ndiyo chizi tena unafikiria kwa kutumia makalio, unadhani kusaidi wananchi haswa kule kijini kwenu au ulipozaliwa siyo jukumu lako ni la serikali tu! Kwani ukisaidia huoni kuwa wananchi watakuwa wanakukumbuka kwa kwa matendo yako mema kwao? Badilika usidhani ukiwa na pesa huwezi kusaidia watu!!!!!!

We kwa hivyo vijisenti vyako wanakijiji wako umewasaidia nn? Kweli we div 5.
 
Kiwanja cha gofu ni kivutio cha utalii hapa naona mnahamu ya kuwaona wazungu kama mnavyodai!!!!!!! Kweli we shomile kwanini asijenge zoo ili hata wewe ukienda ukawapeleke ndugu zako wa huko wakawaone wanyama laivu.

Umeshajibiwa kuwa hicho ni kivutio cha kitalii.... kwan tz kuna vivutio vingapi mbona wazawa hamwendi kwa wingi kuvitembelea? Acheni wivu wa kike...

Nyie ndo tunasikia mkijenda nyumba ya bati vijijini kwenu mnarogwa.
 
Mkuu Jamal Malinzi

Umeninyooshea huyu nguchiro shukran sana, kweli JF kiboko, tutakutana Gymkhana Club, nimecheka sana leo, teh teh teh.

Wale wale na wewe ulitaka tujue unafahamiana na malinzi mnakutanaga gymkhana?
 
Last edited by a moderator:
Owaishe, achana nao hawajui historia ya Malinzi family. Tunafanya mambo kama familia moja na hakuna individualism! Hiyo ni mali ya Malinzi family (Ta Emily) iliyopatikana kwa nguvu ya wote. Matola, after all these are private affairs!

Jamani tuache mambo ya ajabu, mwenyewe ameshasema hicho ni kitega uchumi cha familia sie tunang'ang'ania mara achimbe visima, mara ajenge viwanja vya mpira etc, etc...lol🙂

Kama ni kitega uchumi cha familia, then aliyeanzisha hii thread asifanye ionekanye sivyo.

Vinginevyo ataonekana anatumika tuu kama waandishi wengine wa habari tuliowazoea.

Pia kama ni private affairs, kwa nini then waje kutanganza kwenye public forums?

Imagine kila mtu angekuja kutangaza vitega uchumi vyao binafsi humu ingekuwaje?

Unless ni tangazo la biashara ambapo kuna forum yake, private affairs should always remain private lakini kama ukiamua kuweka maisha yako binafsi humu jiandae kuwa scrutunized positively or negatively na watumiaji wa forum.

Further, heading ya thread is completely misleading na sijui kama hili limefanywa kwa makusudi or innocently, though aliyeleta hii "private affairs" kwenye "public forums" ni mwandishi wa habari.

Of course, Matola ametumia lugha kali, but hey this is a public forum and don't expect to be treated differently simply because una stutus fulani kwenye jamii au jambo linalojadiliwa is your "private affairs".

When you bring your "private affairs" to be discussed in this public forum prepare to expect the unexpected.
 
Back
Top Bottom