Tazama viwanja vya Golf vilivyojengwa na J.Malinzi katika wilaya ya Missenyi

Tazama viwanja vya Golf vilivyojengwa na J.Malinzi katika wilaya ya Missenyi

Kama ni kitega uchumi cha familia, then aliyeanzisha hii thread asifanye ionekanye sivyo.

Vinginevyo ataonekana anatumika tuu kama waandishi wengine wa habari tuliowazoea.

Pia kama ni private affairs, kwa nini then waje kutanganza kwenye public forums?

Imagine kila mtu angekuja kutangaza vitega uchumi vyao binafsi humu ingekuwaje?

Unless ni tangazo la biashara ambapo kuna forum yake, private affairs should always remain private lakini kama ukiamua kuweka maisha yako binafsi humu jiandae kuwa scrutunized positively or negatively na watumiaji wa forum.

Further, heading ya thread is completely misleading na sijui kama hili limefanywa kwa makusudi or innocently, though aliyeleta hii "private affairs" kwenye "public forums" ni mwandishi wa habari.

Of course, Matola ametumia lugha kali, but hey this is a public forum and don't expect to be treated differently simply because una stutus fulani kwenye jamii au jambo linalojadiliwa is your "private affairs".

When you bring your "private affairs" to be discussed in this public forum prepare to expect the unexpected.

Mbona unakuwa mkali?
 
Bora ajenge labda siku moja watapatikana wenye kujua maana yake na kuvitumia,kama kiongozi anapita anaondoka ameshindwa kufanya mema mpaka hata mabaya nayo yamemshinda basi ni hatari,zuri na baya we fanya tu baadae itaeleweka kuliko yule asiyejaribu hata kufanya
 
Yani kila nikisoma comments za wadau mnavyomshambulia Matola afu na yeye anavyowajibu Mbavu sina.
 
Last edited by a moderator:
Kama ni kitega uchumi cha familia, then aliyeanzisha hii thread asifanye ionekanye sivyo.

Vinginevyo ataonekana anatumika tuu kama waandishi wengine wa habari tuliowazoea.

Pia kama ni private affairs, kwa nini then waje kutanganza kwenye public forums?

Imagine kila mtu angekuja kutangaza vitega uchumi vyao binafsi humu ingekuwaje?

Unless ni tangazo la biashara ambapo kuna forum yake, private affairs should always remain private lakini kama ukiamua kuweka maisha yako binafsi humu jiandae kuwa scrutunized positively or negatively na watumiaji wa forum.

Further, heading ya thread is completely misleading na sijui kama hili limefanywa kwa makusudi or innocently, though aliyeleta hii "private affairs" kwenye "public forums" ni mwandishi wa habari.

Of course, Matola ametumia lugha kali, but hey this is a public forum and don't expect to be treated differently simply because una stutus fulani kwenye jamii au jambo linalojadiliwa is your "private affairs".

When you bring your "private affairs" to be discussed in this public forum prepare to expect the unexpected.

Kitega uchumi cha familia haina maana ni "private affairs" kwa sababu bado lengo ni ku-attract public participation. Kinachokosewa ni kumlazimisha mtu ajenge viwanja vya mpira wa miguu etc, etc, etc just because ame-invest kwenye viwanja vya golf...!
 
Well, wapo waliosema ni "private affairs" and my post was directed to them.
 
Ah ah matola leo amekanyaga kinyesi lazima achechemee hata kama akijamchoma
 
Wewe unadhani Gymkhana wanagawa pilau pale? leo ijumaa nenda kapange foleni kwa Bakhresa na ombaomba wenzako wavaa vipedo kima wewe.

Weye Matola hata kama ni katika chama cha siasa sijui pahala gani pakufaa, maana kila uchangia katika mada huonekana hunui ukifanzacho.

Ila kwakuwa ni binti wa rafikiangu kahtaan nitakugeiya fasi ya uropokaji na huko kwenyu mna ile ngoma yamkuliwa mdundiko, nadhani fasi hiyo itakufaa.

Ikishindikana ntamuita mjuvya wako Ritz maana yeye akufahamu fika.

Na usijisheuwe hapa Jamali Malinzi ni mjombaako na anao upeo mkubwa juu ya kuyaendea mambo, tulia ufunzwe na utendewe kazi mwana wa kufikia weye.
 
Last edited by a moderator:
Mtoto wa kike umeumbuka

Teh teh teh!

Mkuu huu mchezo wa kichaga unataka kumletea Matola !

Huyo ni mtu wa songea!.alichokivaa ndani ya hio suruali yake akikuonyesha utakimbia wewe!

Manake mtoto wa kiume shanga kilo saba!
 
Last edited by a moderator:
leo ijumaa nenda kapange foleni kwa bakhresa na ombaomba wenzako wavaa vipedo kima wewe.
naomba ukanushe hapa kuwa wewe si mtu wa songea kwani songea haizalishi wajing.a kama wewe. We kwenu wapi?
 
Last edited by a moderator:
Nilipita hapa last year December, ni pazuri sana! hongera sana bwana Jamal Malinzi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom