Tazama viwanja vya Golf vilivyojengwa na J.Malinzi katika wilaya ya Missenyi

Tazama viwanja vya Golf vilivyojengwa na J.Malinzi katika wilaya ya Missenyi

Unatetea nini sasa,utakula golf au utakunywa golf? Hlf mwenyewe ame declare kwamba ni kitega uchumi cha family yao sio cha community, we VP?

Kha! We jamaa niaje? Kitega uchumi cha familia yake ndio!! We kinachokuuma nini?? Nawe unaweza ukaishawishi familia yako mjenge kiwanja cha mpira wa miguu kama unaona golf huna interest nayo.
 
Hili ndilo tatizo letu watz linalopelekea hata mamlaka kuu kutangaza 'kilimo kwanza' badala ya 'elimu (ya kilimo) kwanza'. Kwenye maisha kuna preferences na hizi zinatofautiana kwa kila binadamu kama ilivyo alama za vidole. Ndio maana America wamekuja na wazo la 'liberty' ili kila mtu afikiri na kufanya kivyake mradi asivunje sheria za nchi.

Je, unataka kutuaminisha kuwa huko wanakokosa chakula na maji wamejenga viwanja vya golf!?
cc: kapalamsenga

Tunatakiwa kutafuta substitute ya viwanja vya golf kwa kuleta idea za visima na football ground,the reason behind ni kwamba hizo huduma zinawasaidia citizens directly na isitoshe hivyo viwanja vyenyewe vya golf ni mali yao binafsi kwahiyo mwananchi wa kawaida hafaidiki namna yoyote ile.ni sawa na serikali inapotangaza eti uchumi umekua kwa % fulani let say 3.5% lkn kilo ya sukari ni sh 2200..! Na Eweru wanapandisha bei ya petrol kila mwezi, kama hujanielewa basi wewe ni mzito sana kuelewa
 
Mimi siyo mwanafamiia ila nasema nadhani hawa wanafanya mambo kama familia moja na siyo kila mmoja na vipande vya kwake!

Tumeishakujua mkuu, Habari za Tanga lakini? Kila la heri mkuu, mawazo ya kimaendeleo kama hayo ya hapo Misenyi ndio yatakayofumbua macho watanzania wengi tuweze ku think big.
 
Tumeishakujua mkuu, Habari za Tanga lakini? Kila la heri mkuu, mawazo ya kimaendeleo kama hayo ya hapo Misenyi ndio yatakayofumbua macho watanzania wengi tuweze ku think big.

Hapana, mimi sihusiani nao. Karibu Tanga, "waja leo waondoka leo". It seems nawe uko Tanga
 
Tunatakiwa kutafuta substitute ya viwanja vya golf kwa kuleta idea za visima na football ground,the reason behind ni kwamba hizo huduma zinawasaidia citizens directly na isitoshe hivyo viwanja vyenyewe vya golf ni mali yao binafsi kwahiyo mwananchi wa kawaida hafaidiki namna yoyote ile.ni sawa na serikali inapotangaza eti uchumi umekua kwa % fulani let say 3.5% lkn kilo ya sukari ni sh 2200..! Na Eweru wanapandisha bei ya petrol kila mwezi, kama hujanielewa basi wewe ni mzito sana kuelewa

Hivi mdau unapopata hela yako nzuri na ukataka kuinvest...kuna mtu anaekuja na kukulazimisha ufanye investment itakayofaidisha hao citizens direct...yahani hela yako afu mtu akupangie kujenga visima ebu tuweni serious kidogo...ye kawekeza hili hajiongezee kipato nyie mnaleta story za angesaidia wananchi..nyie mnajua hiyo hela kaipataje...ebu muacheni mtu afanye anachojisikia na hela yake as long as kaipata kwa njia halali na añachokifanya havunji sheria za nchi
 
The debate is closed
 
Kwa hio hata heading ya hii thread imekosewa ilitakiwa kuwa "Tazama viwanja vya Golf vilivyojengwa na familia ya Malinzi (watoto wa Malinzi) katika wilaya ya Missenyi".
Swali langu: kwa nini Golf na wala si football, tennis, Basketball ama michezo mingine mbio za farasi?
Hongereni kwa vision na mipango yenu
Matola ni vyema ukaongelea jambo ambalo una uhakika nalo.
Hizo picha hapo juu ndipo mimi nilipozaliwa na kukulia pamoja na kaka yangu Dioniz na ndugu zangu wote.For some reasons ambazo sina haja ya kuzizungumzia hapa wazazi wetu baba na mama (Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi) hawakuzikwa hapa na ndio maana familia ikaamua kupaendeleza kama unavyo paona.Taratibu za uendeshaji wa familia yetu kabla na baada ya wazazi wetu kufariki si suala la kuzungumzia hapa jf.
Ahsante.
 
Last edited by a moderator:
Kwani TFF wanawajibika na golf? Si ajenge viwanja vya mpira wa mguu aonekane anajali madaraka yake?

Kilichokutuma kuandika hivi ni akili,roho,ama wivu tu!Lolote utakalochagua hapo ongeza neno "MBAYA!"Ni bora kunyamaza tu wakati mwingine kama huwezi kupongeza juhudi za watu wengine!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kimsingi bwn Matola umeumbuka..na watu wengi hawapendezwi na tabia yako ya kujifanya kila nyanja upo..unakera..we ndiye mjuaji wa kila jambo kumbe ni TABULALAZA zeefu! JIREKEBISHE muda si mrefu watu wataanza kuku enjoy kama W. J. Malecela soma alama za nyakati NYUMBU WEWE

Huyo matola mbona watu wenye akili zetu timamu hatumjibu kitu?
Huyo anajua kila kitu kiwe mjini kiwe kijijini sisi kwetu tunamuona kama Limbukeni tu
 
Last edited by a moderator:
Wewe fa.la una mchango mkubwa sana katika umaskini wa hii nchi. Ukishakuwa na fikra za kimaskini namna hii ni vigumu sana kukomboa nchi yako kiuchumi. Akina Malinzi wamekuwa Pro Active, wanajua kuna fursa inakuja ya uwanja wa ndege wa kimataifa hapo Misenyi. Kuna mizungu kibao inatafuta Holiday destination huku Afrika lakini inakosa kwa vile hakuna vitu kama viwanja vya Golf kwa ajili ya wao kula burudani, kukiwa na uwanja kama huo then ukatangazwa watu wataenda tu. Ujinga wako ndio umaskini wako. Wewe kama ni maskini you never know mwanao atakuwaje, huenda ndiye atakayeenda kucheza Golf Misenyi. Think big wewe fa.la

Muulize zile za kwao wanaochangisha kwenye mikutano wameshachimba visima vingapi? Au wamepeleka madawati mangapi mashuleni? Wanajua kupangia matumizi wenzao kwa pesa zao pangeni zenu,sio huyu tu wako wengi sana hapa wanachukia kila maendeleo ya mtu yyte kwenye nchi hii.
 
Tatizo lako unaangalia vitu virahisi tu, huna tofauti na watunga sera wetu, ambao wanakomaa na makampuni ya madini na mafuta kununua mboga na matunda kutoka Tanzania badala ya kuboresha sheria ya madini ili hao jamaa waache kukwepa kodi ya mabilioni kuliko kununua mboga na matunda za malaki/mamilioni.
Acha kufikiria faida ndogondogo badala ya kufikiria faida kubwa mabayo watu wengi wangefaidika.

Huwa sina tabia ya kuattack character ya mtu hapa JF ila ndugu yangu nakuona unamatatizo...unachofanya ni kuongea tu sababu JF hatulipii...
Familia ya malinzi si wazawa kwahiyo tayari walishajinufaisha pili hata mkata nyasi za uwanja nae ni mzawa tayari kaishafaidika..walinzi...na wafanyakazi wengine list ya watu inaendelea na kuendelea..sa sijui we ulitaka mpaka umuone kokushubila kashika stick ya golf ndio uone wazawa wanafaidika..au ulitaka wafungue soko la mazao ili kila bojo aje kuuza ndizi na nsholo ndio utaona wazawa wamefaidi..in fact ye haifanyi hiyo biashara kufaidisha wazawa..kwani wao hao wazawa wamemfaidisha na nini...
Ebu start thinking out of the box..mawazo yako husiyalimit sana katika mtazamo mmoja kwamba kwa kuwa we ni mwalimu kwahiyo biashara yako ni lazima hiwe tuisheni tu na nilazima uifanyie mtaani kwako ili majirani wafaidike...
 
Hahahaha NYUMBU a.k.a pimbi a.k.a zuzu a.k.a pumba.vu a.k.a SUKULE NAMBA MOJA JF NZIMA a.k.a asha mohamed a.k.a bwabwaz Matola kavuliwa nguo yootee hadi chupi iliyotoboka hapo badu kunuswa tu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha NYUMBU a.k.a pimbi a.k.a zuzu a.k.a pumba.vu a.k.a SUKULE NAMBA MOJA JF NZIMA a.k.a asha mohamed a.k.a bwabwaz Matola kavuliwa nguo yootee hadi chupi iliyotoboka hapo badu kunuswa tu

Teh teh teh teh mi simo!
 
Last edited by a moderator:
Jamani tuache mambo ya ajabu, mwenyewe ameshasema hicho ni kitega uchumi cha familia sie tunang'ang'ania mara achimbe visima, mara ajenge viwanja vya mpira etc, etc...lol🙂
 
Acha kudanganya watu ni Dioniz Malinzi na ndio mwenye cash anamiliki kampuni ya Cargo star.
Kauzu kweli wewe unajifanya watu wote wa mjini unawajua angalia sasa ulivyotolewa nishai, unatafuta bwana sasa Cargo Star.
 
Matola ni vyema ukaongelea jambo ambalo una uhakika nalo.
Hizo picha hapo juu ndipo mimi nilipozaliwa na kukulia pamoja na kaka yangu Dioniz na ndugu zangu wote.For some reasons ambazo sina haja ya kuzizungumzia hapa wazazi wetu baba na mama (Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi) hawakuzikwa hapa na ndio maana familia ikaamua kupaendeleza kama unavyo paona.Taratibu za uendeshaji wa familia yetu kabla na baada ya wazazi wetu kufariki si suala la kuzungumzia hapa jf.
Ahsante.
Mkuu Jamal Malinzi

Umeninyooshea huyu nguchiro shukran sana, kweli JF kiboko, tutakutana Gymkhana Club, nimecheka sana leo, teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Jamal Malinzi

Umeninyooshea huyu nguchiro shukran sana, kweli JF kiboko, tutakutana Gymkhana Club, nimecheka sana leo, teh teh teh.

yaani hata mimi nimefurahi sana hiki kijamaa kijinga sana kinajifanya kila kitu kinajua anazungumza alafu ndo kanafikiria badala ya kufikiria kwanza kabla ya kuzungumza...poor her,sory him.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom