Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Matola ni vyema ukaongelea jambo ambalo una uhakika nalo.
Hizo picha hapo juu ndipo mimi nilipozaliwa na kukulia pamoja na kaka yangu Dioniz na ndugu zangu wote.For some reasons ambazo sina haja ya kuzizungumzia hapa wazazi wetu baba na mama (Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi) hawakuzikwa hapa na ndio maana familia ikaamua kupaendeleza kama unavyo paona.Taratibu za uendeshaji wa familia yetu kabla na baada ya wazazi wetu kufariki si suala la kuzungumzia hapa jf.
Ahsante.
Safi sana mkuu nashukuru kwa kuwepo JF maana tungepotoshwa.
Kuna watu umu story za vijiweni kwenye kahawa wanazileta apa bila kuwa na uhakika.
Sasa nimeona umuhimu wa uwepo wako umu.
Kaz njema
Last edited by a moderator: