TAZARA inahujumiwa na viongozi?

Nchi zote cargo train ndo hulipa zaidi reli kuliko passenger
 
Huo mfano wako hauna mantiki kabisa kwenye hili swala tafuta mfano mwingine.Suala la malori linagusa maisha ya watu wengi moja kwa moja tofauti na hiyo treni.
Uoande wa pili huuoni kabisa maanapengine huna uwezo wa kuliona hilo.
Malori obverweight wewe hayakupi shida?
Lori la tani 30 wafanya biashara wanahonga honga na linabeba hadi tani 40.
Barabara za mabilioni zinachakaa baada ya muda mfupi.
Kutokana na mwendo mdogo ajali nyingi sana kwa vile magari madogo na mabasi yanapata ajali yakiya overtake.
Hizi ajali ni za kila kukicha.
Weledi au efficiency ya usafirishaji mizigo kwa malori ni mdogo mno, watu wanaziba macho ili kutoona ukweli kuwa usafirishaji mizigo kwa wingi na haraka duniani kote ni kwa treni katika nchi kavu.

Halafu mkuu fuatilia kwa karibu uhusiano kati ya wafanyabiashara ya usafirishaji na viongizi serikalini.
 
Huo mfano wako hauna mantiki kabisa kwenye hili swala tafuta mfano mwingine.Suala la malori linagusa maisha ya watu wengi moja kwa moja tofauti na hiyo treni.
Unapolazimisha uwe sahihi,je umezingatia suala LA bei? Mzigo ukichukuliwa na lorry unakuwa na bei kubwa vs treni ambapo bei ni ndogo.
 
Nchi zote cargo train ndo hulipa zaidi reli kuliko passenger
Its as if viongozi wetu hawalioni hilo.
Kila siku wanaimba kisiasa "value for money" kumbe ni siasa za mdomoni tu!
 
Viongozi wengi wa Serikali ni mabepari! Hivyo usikute hata hayo malori yakawa mengi ni ya kwao.

Lakini pia kuwepo na mkataba wa hovyo kati ya nchi mbili; Tanzania na Zambia kuhusu TAZARA, na wenyewe unachangia hili Shirika kuendelea kujiendesha kwa hasara, miaka nenda.
 
Mnafahamu hayo malori yanatoa ajira kwa watu wengi kiasi gani??kuanzia madereva,mafundi,wauza mafuta,matairi,spare parts,mama ntilie,waosha magari na wengineo.Mizigo yote ikibebwa na treni hiyo workforce yote mna sehemu ya kuipeleka???
Acha uzwazwa wewe, huko duniani matreni yapo na maroli yapo vilevile
 
Unadhani hujuma kwa TAZARA ikifanyika itakuwa inafananaje?
 
Acha uzwazwa wewe, huko duniani matreni yapo na maroli yapo vilevile
Tatizo akili zako fupi,Mimi sijapinga uwepo wa treni kubeba mizigo.Njia zote za usafirishaji zinaexist kwa pamoja
 
Mnafahamu hayo malori yanatoa ajira kwa watu wengi kiasi gani??kuanzia madereva,mafundi,wauza mafuta,matairi,spare parts,mama ntilie,waosha magari na wengineo.Mizigo yote ikibebwa na treni hiyo workforce yote mna sehemu ya kuipeleka???
Nadhani una ufahamu mdogo kuhusu kinachoongelewa hapa.
 
Ni suala la kujiuliza kwa kweli.
Mheshimiwa Mbarawa amka toka usingizi wa pono.
 
Iko hivo hujuma ndio deal, huoni hata copper inasafirishwa Kwa malori
 
TAZARA kila mtu achukue kipande chake. Kule Zambia waziri anayehusika na hii reli, akiingia tu madarakani, husemekana hupewa vipande vya fedha. Sisi huku tumeitupa.
 
TAZARA kila mtu achukue kipande chake. Kule Zambia waziri anayehusika na hii reli, akiingia tu madarakani, husemekana hupewa vipande vya fedha. Sisi huku tumeitupa.
Ni wazo jema.
Tunaacha miundombinu muhimu ya TAZARA inachakaa bila matunzo, halafu barabara zetu zinafumuliwa kila siku na malori.
Mbarawa kila siku analia value for money, kiko wapi hapa kitaifa?
Ni unafiki mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…