TB Joshua fasts and prays on the mountain,"refuses to eat until COVID-19 is defeated"

TB Joshua fasts and prays on the mountain,"refuses to eat until COVID-19 is defeated"

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Leader and founder of The Synagogue Church of All Nations Temitope Balogun Joshua, commonly referred to as T. B. Joshua would never stop at anything to see the deadly coronavirus completely defeated.

Since its outbreak in the Wuhan province of China in December last year, the novel virus had been confirmed in around 210 countries or territories as of April 27, 2020, with 3,004,887 people infected worldwide, and 207,254 deaths recorded.


T. B. Joshua suffered a huge credibility deficit recently following his prediction of March 27 as the day the virus would vanish from the earth but the prophecy never came to pass.

However, despite having gone silent on issues relating to the unpredictable coronavirus, the man of God appears to have been fighting the virus behind the scenes.

Photos circulating online show him in a serious fasting and prayer mood in the mountains allegedly to ensure the world regains respite from the current albatross.

Parody Twitter account ‘Man’s Not Barry Roux’ which shared the phots on the social media platform captioned them: “Prophet TB Joshua is praying & fasting on the mountain for Coronavirus to end. He has refused to eat until the enemy is defeated.”

Watch a video of the man of God praying against the coronavirus in the mountains:

TB Joshua fasts and prays on the mountain,"refuses to eat until COVID-19 is defeated" (video)

 
Although the length of time varies with an individual's percentage of body fat and general health, one medical study estimates that in adults complete starvation leads to death within 8 to 12 weeks.

ngoja tuone!
 
Hii noma sana, yani jamaa kaishajua kua kanisani kwake ambako alikua anawafanyia waumini miujiza sio sehemu salama kaamua kuingia chaka.

Na huyo ni mjanja wengi wanajua kaingia chaka kwa ajili ya kuomba lakini ukweli ni kwamba jamaa kajitenga na jamii ili kunusuru afya yake. Nyomi ya watu pale lagos ingeweza kumsababishia maambukizi kwaiyo namna pekee ya kuepuka ni kuingia mitini.

Mkitaka kuona kua jamaa anajitenga na wananchi ili kuukwepa ugonjwa basi raia waongezeke huko milimani utaona kama hajatafuta chimbo lingine.
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
Kuna kitu bado sijaelewa hapo.

Yaani mtumishi kaenda zake mlimani kuomba kimya kimya (privacy), hapo hapo kamera zimemzunguka, amewekewa kipaza sauti kwenye nguo anaongea huku akirekodiwa na video zinatumwa mitandaoni watu tuone na kujua!

This is a media attention preaching. Kuna usanii fulani hivi wa kiimani.

Sitaki kuamini kama maombi ya namna hii yana maana sana.
 
Kiongozi na Mwanzilishi wa Kanisa la 'The Synagogue Church of All Nations', Temitope Balogun Joshua maarufu kama T. B. Joshua ameamua kupambana na #COVID19 kwa maombi

Inadaiwa T. B. Joshua alipata upungufu mkubwa wa uaminifu kutoka kwa Watu siku chache baada ya utabiri wake kuwa Machi 27, 2020 virusi vya Corona vitapotea duniani kutotimia

Hata hivyo, licha ya kukaa kimya juu ya masuala yanayohusu #CoronaVirus yasiyotabirika, kiongozi huyo wa dini inaonekana alikuwa akipambana na virusi kimya kimya

Picha zinazozunguka mtandaoni zinamuonesha akiwa katika harakati kubwa za kufunga na kusali Milimani akidaiwa ni ili kuhakikisha Ulimwengu unarejea katika hali ya awali

photo_2020-05-01_19-07-41.jpg


photo_2020-05-01_19-07-48.jpg
 
Huyo kakimbia lagos mana kwa ile population mdudu angemtimbia tu sasa kaona aji isolate kwa mgongo wa dini, Juzi nilikuwa nacheki focus on Africa basi wachimba makaburi wa Mji fulani unaitwa kano wanadai kiwango cha kuchimba na kuzika kimeongezeka ile hali report hazioneshi kama hao watu ni wanakufa kwa convid
 
Kila mmoja ana njia zake za kujitenga isolation)
Wengine wamejificha kwao kama mimi na wengine ndio hawa sasa wakiogopa mdudu asieonekana
TB J huyo woga umempelekea akajitenga


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kufunga na kuomba in privacy ndo njia ya kuomba na kumsihi MUNGU afanye jambo kwa huruma zake, ila hiyo ya kwenda milimani na makamera au watu wa kuchukua picha ya kinachofanyika na kurusha mitandaoni Naadhani analengo jingin.
 
Back
Top Bottom