TB Joshua fasts and prays on the mountain,"refuses to eat until COVID-19 is defeated"

TB Joshua fasts and prays on the mountain,"refuses to eat until COVID-19 is defeated"

TB Joshua alitabiri hili janga la corona tangu mwaka 2008 na amekuwa akikumbusha kila baada ya muda fulani.
Kwasasa yuko anaomba Mungu kwajili ya ulimwengu mzima ili Mwenyezi Mungu aturehemu na kutuponya na janga hili.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Manabiii wa KITAPELI pumbavu
IMG_20200428_220359.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii noma sana, yani jamaa kaishajua kua kanisani kwake ambako alikua anawafanyia waumini miujiza sio sehemu salama kaamua kuingia chaka

Na huyo ni mjanja wengi wanajua kaingia chaka kwa ajili ya kuomba lakini ukweli ni kwamba jamaa kajitenga na jamii ili kunusuru afya yake. Nyomi ya watu pale lagos ingeweza kumsababishia maambukizi kwaiyo namna pekee ya kuepuka ni kuingia mitini

Mkitaka kuona kua jamaa anajitenga na wananchi ili kuukwepa ugonjwa basi raia waongezeke huko milimani utaona kama hajatafuta chimbo lingine
a real GT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya makanisa mengine mchungaji anakuambia nitafunga kwaajili yako. Unamnunulia juice ya Ribena na tray ya mayai kwa kufungulia.
 
Kiongozi na Mwanzilishi wa Kanisa la 'The Synagogue Church of All Nations', Temitope Balogun Joshua maarufu kama T. B. Joshua ameamua kupambana na #COVID19 kwa maombi

Inadaiwa T. B. Joshua alipata upungufu mkubwa wa uaminifu kutoka kwa Watu siku chache baada ya utabiri wake kuwa Machi 27, 2020 virusi vya Corona vitapotea duniani kutotimia

Hata hivyo, licha ya kukaa kimya juu ya masuala yanayohusu #CoronaVirus yasiyotabirika, kiongozi huyo wa dini inaonekana alikuwa akipambana na virusi kimya kimya

Picha zinazozunguka mtandaoni zinamuonesha akiwa katika harakati kubwa za kufunga na kusali Milimani akidaiwa ni ili kuhakikisha Ulimwengu unarejea katika hali ya awali

Msanii huyu dua lake haliwezi kusababisha Corona Virus ipate kuondoka duniani anajidanganya huyu.
 
Back
Top Bottom