TB Joshua fasts and prays on the mountain,"refuses to eat until COVID-19 is defeated"

TB Joshua fasts and prays on the mountain,"refuses to eat until COVID-19 is defeated"

Mkuu

Kama huli wala kunywa chochote nadhani hata wiki 3 sio rahisi kufikisha.
Although the length of time varies with an individual's percentage of body fat and general health, one medical study estimates that in adults complete starvation leads to death within 8 to 12 weeks.

ngoja tuone!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUYU NI MPIGAJI KAMA WAPIGAJI WENGINE, WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA
 
Kuna kitu bado sijaelewa hapo.
Yaani mtumishi kaenda zake mlimani kuomba kimya kimya (privacy), hapo hapo kamera zimemzunguka, amewekewa kipaza sauti kwenye nguo anaongea huku akirekodiwa na video zinatumwa mitandaoni watu tuone na kujua!!

This is a media attention preaching. Kuna usanii fulani hivi wa kiimani.
Sitaki kuamini kama maombi ya namna hii yana maana sana.

Nilitarajia azingatie andiko la Mathayo 6:6. Yesu aliagiza ukitaka kusali ingia katika chumba chako cha ndani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwamba anakataa kula bali anabadilisha ratiba au kupunguza kula, aache kula aone kati yake yeye na Corona who will be defeated first...
 
Kiongozi na Mwanzilishi wa Kanisa la 'The Synagogue Church of All Nations', Temitope Balogun Joshua maarufu kama T. B. Joshua ameamua kupambana na #COVID19 kwa maombi

Inadaiwa T. B. Joshua alipata upungufu mkubwa wa uaminifu kutoka kwa Watu siku chache baada ya utabiri wake kuwa Machi 27, 2020 virusi vya Corona vitapotea duniani kutotimia

Hata hivyo, licha ya kukaa kimya juu ya masuala yanayohusu #CoronaVirus yasiyotabirika, kiongozi huyo wa dini inaonekana alikuwa akipambana na virusi kimya kimya

Picha zinazozunguka mtandaoni zinamuonesha akiwa katika harakati kubwa za kufunga na kusali Milimani akidaiwa ni ili kuhakikisha Ulimwengu unarejea katika hali ya awali

Huu usanii anaweza pozi la kuchoka apigwe picha
 
Sijui kwanini mie siwaamini hawa manabii wa siku hizi, heri nife na dhambi zangu tu.
 
Hii noma sana, yani jamaa kaishajua kua kanisani kwake ambako alikua anawafanyia waumini miujiza sio sehemu salama kaamua kuingia chaka

Na huyo ni mjanja wengi wanajua kaingia chaka kwa ajili ya kuomba lakini ukweli ni kwamba jamaa kajitenga na jamii ili kunusuru afya yake. Nyomi ya watu pale lagos ingeweza kumsababishia maambukizi kwaiyo namna pekee ya kuepuka ni kuingia mitini

Mkitaka kuona kua jamaa anajitenga na wananchi ili kuukwepa ugonjwa basi raia waongezeke huko milimani utaona kama hajatafuta chimbo lingine
[emoji23][emoji23][emoji23] hii ndiyo huitwa "CRITICAL THINKING".

☆Magnum Opus☆
 
Although the length of time varies with an individual's percentage of body fat and general health, one medical study estimates that in adults complete starvation leads to death within 8 to 12 weeks.

ngoja tuone!
8-21 days without food or water 30-40 days without food but with water.

☆Magnum Opus☆
 
Leader and founder of The Synagogue Church of All Nations Temitope Balogun Joshua, commonly referred to as T. B. Joshua would never stop at anything to see the deadly coronavirus completely defeated.

Since its outbreak in the Wuhan province of China in December last year, the novel virus had been confirmed in around 210 countries or territories as of April 27, 2020, with 3,004,887 people infected worldwide, and 207,254 deaths recorded.


T. B. Joshua suffered a huge credibility deficit recently following his prediction of March 27 as the day the virus would vanish from the earth but the prophecy never came to pass.

However, despite having gone silent on issues relating to the unpredictable coronavirus, the man of God appears to have been fighting the virus behind the scenes.

Photos circulating online show him in a serious fasting and prayer mood in the mountains allegedly to ensure the world regains respite from the current albatross.

Parody Twitter account ‘Man’s Not Barry Roux’ which shared the phots on the social media platform captioned them: “Prophet TB Joshua is praying & fasting on the mountain for Coronavirus to end. He has refused to eat until the enemy is defeated.”

Watch a video of the man of God praying against the coronavirus in the mountains:

TB Joshua fasts and prays on the mountain,"refuses to eat until COVID-19 is defeated" (video)


On his Twitter doesn't say he is fasting, how did you get that? However if he really doing it and not a lie, he will die in vein as Corona is here to stay for few months yet especially in Africa were it got late, it will be another proof that he is fake and fraud. Perhaps he is saving his cash since no body pays him for teaching them about God, super fraud star he is, shame of Africa, source of stupidity in Africa.
 
Miguu hata uwe na pesa vipi lazima iseme ulitokea kwenye taaabu
IMG_20200502_163656.jpeg
IMG_20200502_163638.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama yule jamaaa yetu anahimiza watu wafanye kazi huku yeye yuko mafichoni.
Hii noma sana, yani jamaa kaishajua kua kanisani kwake ambako alikua anawafanyia waumini miujiza sio sehemu salama kaamua kuingia chaka

Na huyo ni mjanja wengi wanajua kaingia chaka kwa ajili ya kuomba lakini ukweli ni kwamba jamaa kajitenga na jamii ili kunusuru afya yake. Nyomi ya watu pale lagos ingeweza kumsababishia maambukizi kwaiyo namna pekee ya kuepuka ni kuingia mitini

Mkitaka kuona kua jamaa anajitenga na wananchi ili kuukwepa ugonjwa basi raia waongezeke huko milimani utaona kama hajatafuta chimbo lingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom