TB Joshua fasts and prays on the mountain,"refuses to eat until COVID-19 is defeated"

TB Joshua alitabiri hili janga la corona tangu mwaka 2008 na amekuwa akikumbusha kila baada ya muda fulani.
Kwasasa yuko anaomba Mungu kwajili ya ulimwengu mzima ili Mwenyezi Mungu aturehemu na kutuponya na janga hili.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
a real GT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya makanisa mengine mchungaji anakuambia nitafunga kwaajili yako. Unamnunulia juice ya Ribena na tray ya mayai kwa kufungulia.
 
Msanii huyu dua lake haliwezi kusababisha Corona Virus ipate kuondoka duniani anajidanganya huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…