TB Joshua kuzikwa Julai 11

Farewell sir!
Rest in peace!
Till we meet again!
#heaven gain#
 
Tar 11 ni Thanksgiving service!
Watching live from 5th july ,hakuna moto wowote uliolipuka,mambo ya mitandao ,duh!
 
Reactions: Pep
Picha akiwa kalala kwenye jeneza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga na umaskini ni vitu vitakavyoendelea kuwatafuna waafrika milele. Muda wote huo, wanasubiri nini kuzika?
Mtu akifa inapaswa azikwe mara moja na mambo mengine ya kimaisha yaendelee.
 
Asante kwa hii Heaven Sent 👏
 
Nigeria na wanyakyusa wanaendana sana kuanzia huko kulia, kuimba, makanisa lundo, miili yao, kuigiza usanii balaa na vitu vingine vingi.
 
.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kwanini yawe matambiko mkuu?
Hakuna matambiko ni taratibu tu wamejiwekea,by the way tar 11 ni Thanksgiving service, anazikwa kesho!

Nimejaribu kutafakari mbona wanachukua muda mrefu sana kumlaza katika wafu ilihali kafariki muda...

Btw mzima wewe Tina 😊
 
Kwa hilo waislam 2 wagalatia 0

5 bila mkuu, sio mbili bila.

Heaven Sent ameelezea vizuri sana. Kuna jamaa tulikua tunafanya nae kazi, tukatumiwa email amefiwa na Mama yake, kwenda asubuhi kazini, namkuta yupo na anaendelea na kazi. Tukashtuka, kumbe wao mazishi sio ghafla kama kwetu, wanaweza kukaa hata miezi miwili au mitatu.

Na wakati huo hapo katikati ni full ubwabwa na finyango za kutosha kutegemea na hadhi ya aliyefariki na uwezo wa familia.

Huo utamaduni nikasema sasa hapo unakuta mtu kafiwa na jamaa wa mbali hafiki ofisini anatuma sms tu, ukikuta boss kama huyo si anakushangaa?
Ndio nikaona umuhimu wa kujifunza na kuelewa tamaduni za wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…