TB Joshua kuzikwa Julai 11

Yaani bado hajazikwa?
 
Pia inaleta matabaka na conflict bila sababu,kama familia uwezi mdogo na mtu mmoja anataka kujitutumua atawapa stress za bure maana hapo ni hela zinatumika na kifo huja ghafla sio kama harusi
 
Pia inaleta matabaka na conflict bila sababu,kama familia uwezi mdogo na mtu mmoja anataka kujitutumua atawapa stress za bure maana hapo ni hela zinatumika na kifo huja ghafla sio kama harusi

Waislam kuna mambo mawili walishachukua ushindi mapema sana.

1. Hili la mazishi, ukishafariki kinachoangaliwa ni uhifadhiwe haraka iwezekanavyo bila mbwembwe.

2. Ndoa, wao hapo wanaangalia wazazi wameridhia? Mahari na kisha shughuli ikamilike mbele ya mashahidi, iwepo chai ys rangi na kashata au maandazi, twende, wao wanachojali itifaki imezingatiwa unakabidhiwa mlimbwende.

Stress free
 
Kweli hapo walitupiga bao ,kuna vijana wengi wa kikristo wanashindwa kuoa sababu ya urasimu na gharama
 
Kweli hapo walitupiga bao ,kuna vijana wengi wa kikristo wanashindwa kuoa sababu ya urasimu na gharama

Wengi wanaamua ku shake well before use, wanasogezana maisha yanaendelea. Kuna haja ya kuangalia upya utaratibu wa haya mambo katika jamii zetu.
 
Kama taifa la Tanzania, habari hii inatuhusu nini?
 
Ukiacha suala la mahari ambalo kwetu inabidi mtu ajipange; nafikiri suala la sherehe kubwa au ndogo linategemea zaidi na utashi wa mtu binafsi. Two of my friends wamefunga ndoa mwaka huu; mmoja ndoa ilifungwa kanisani, tukala ubweche hapohapo na mambo yakaisha. Wa pili yeye baada ya kufunga ndoa, alitualika dinner jioni mahali, tukaufinya yakawa yameisha. So anayetaka sherehe kubwa ni yeye tu, kwa sababu hata Waislam wenye titles wengi, naonaga wanafanya wedding receptions za kukata na shoka

Ngono imekuwa rahisi sana, so vijana wanaona wasogezane waendelee kushake well kwa urahisi. As a matter of fact suala la ndoa, sio issue ya mtu kuwa na utayari wa kifedha; linahitaji utayari wa kiroho, kiakili na kimwili pia. So wapo waislamu wanaishi pamoja, na ndoa hawajafunga. Unajiuliza hawa wenzetu ndoa zao zilivyo rahisi hivyo, ni nini kinawazuia kufunga ndoa? Possibly mwingine hayupo tayari kufunga ndoa kwa wakati huo, ila mbususu anaitaka kwa raha zake.
Kweli hapo walitupiga bao ,kuna vijana wengi wa kikristo wanashindwa kuoa sababu ya urasimu na gharama
Wengi wanaamua ku shake well before use, wanasogezana maisha yanaendelea. Kuna haja ya kuangalia upya utaratibu wa haya mambo katika jamii zetu.
 
Eeh yaani maandalizi ya mazishi yanaendele; ila maisha mengine ya kawaida yanaendelea pia kama kawaida.
 
Ni kweli ulosema ika wazazi toka moshi too much.kuna binti nilmpenda ile kuniambia dada yake alilipiwa mahari milioni tano niliogopa
 
Hahaha ungeenda tu ukazijue mbivu na mbichi. Wakati mwingine sisi mabinti tunakomaa home hadi mahari inashushwa aisee.

Sent from my SM-P601 using JamiiForums mobile app
Nilimtafutia visa nikamtema kimasihara,huyo jamaa aliyelipa milioni tano angekuwa anajiweza ningesema walifanya vile sababu ana pesa ,jamaa ana life ya kawaida tu,nikajua na mimi sichomoki humo kwenye mil 5
 
Wewe ungemwambia binti huna hiyo 5M, kama angekuwa anataka kuolewa na wewe, angepambana home hadi wangekubali. Brod angu kaoa mchagan, binti alipambana kwao akawaambia kabisa, mkimtajia hela kubwa ndiyo siolewi, sitowaelewa.

Dingi yake mkoloni na mshika mila hodari sidhani kama angeshusha nilikuwa nafanya kazi taasisi kubwa ila mshahara mdogo plus mkopo juu,yule mzee asingeelewa
 
Wengi wanaamua ku shake well before use, wanasogezana maisha yanaendelea. Kuna haja ya kuangalia upya utaratibu wa haya mambo katika jamii zetu.
Mbona wakristo huoana ibada ya asubuhi bila mbwembwe ukiona watu wasingizia gharama hao sio waoaji, hafu ndoa za waiskamu kutoa talaka ni easy tu wanaoana na kuachana easily tofauti na wakristo ukioa mara Moja ni nitolee.
 
Dingi yake mkoloni na mshika mila hodari sidhani kama angeshusha nilikuwa nafanya kazi taasisi kubwa ila mshahara mdogo plus mkopo juu,yule mzee asingeelewa
Hawa wazazi wengine; ndiyo unakuta binti anaamua kujihamishia kwa mwanaume kwa mkopo.
 
Nigeria hukaa mda mrefu na marehemu wao Hadi hata miezi sita na huwa sherehe kubwa hamna lia lia na kujigaragaza ka huku bongo

Okay,
Wapopo wana mila mila sana, ni kama sherehe za harusi wanaweza fanya hata tatu na mbwembwe kibao za kuenzi tamaduni za makabila yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…