TBA waingia matatani kwa kutokamilisha miradi Kigoma

TBA waingia matatani kwa kutokamilisha miradi Kigoma

Wangetumbuliwa kabisa Ofisi ya nbs Kigoma wamekula 600ml hawajafanya chochote
 
Milioni 500 katika ujenzi mkubwa ni fedha ya kawaida mkuu

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Mkuu nyumba ya mkuu wa wilaya kwa mil500 si sawa kwa nchi yetu, bado hatujafikia huko, unless wanajenga ikulu ndogo huko uvinza, kwa mikoani hasa vijijini kupata eneo zuri kwa kujenga ni rahisi sana mi nafikiri kwa nyumba ya mkuu wa wilaya mil150 zingetosha, wewe ukipewe mil75 huko uviza utashusha nyumba nzuri yenye nafasi hadi mkuu wa wilaya atahama kwenye kontena na kuja kupanga kwako
 
Kwa hiyo rais akitembelea uvinza atakaa kwenye ikulu ndogo ya kontena..
 
Nafikiri kuna masuala mawili:
1. Contract management;
1. Architect- TBA
2. Contractor - TBA
3. Consultant - TBA
Ufanisi hapa utakuwa mdogo.
2. Kuna suala la fedha na upatikanaji wake. Kama zilitolewa 500m/= mwaka 2013 haiwezekani ipite miaka yote hiyo bila taarifa au tathmini ya miradi. Je kulikuwa na " site meetings?
 
Haya ndiyo madhara ya kukurupuka! Serikali haitakiwi ifanye biashara hawa TBA kama wanataka kufanya kazi washindanishwe na makandarasi wengine! Kazi zimekuwa nyingi kwao no mzigo! Mara nyingi wanahamisha pesa kwenda kwenye miradi mingine! Hivyo wameshakula hasara ya mabilioni na hii ilitokea pale walipojidai nao kutoa gawio kwa serikali! Sasa hayo mabilioni wanayatoa wapi?
 
Jamani hivi nyumba ya mtumishi wa umma kugharimu milioni 500 ni jambo la kawaida hili?

Hii inamaanisha vijana tusitarajie kujenga au?
Kwa sisi wajasiliamali milioni 500 inatoa apartments 20 kwa kodi ya laki 500 kwa mwezi. Hili ni ghorofa la sakafu tatu kwenda juu.
 
Jamani hivi nyumba ya mtumishi wa umma kugharimu milioni 500 ni jambo la kawaida hili?

Hii inamaanisha vijana tusitarajie kujenga au?
Huenda ikawa ghorofa moja

Au huenda ni zile Nyumba za Viongozi ambazo wamepiga na gharama za furniture hadi na sahani ili ukihamia hapo unahamia na begi tu la nguo
 
Yaani hayo magofu ndio milioni mia tisa??

Laiza kajenga shule kwa milioni mia nne??

Watupe mahesabu vizuri.
 
Back
Top Bottom