Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
- #41
ndiyo CNN yetu tuitazame tu, wana mtangazaji mzuri pale aridhioHicho chombo hata kizimike milele wala sina muda nao kabisa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiyo CNN yetu tuitazame tu, wana mtangazaji mzuri pale aridhioHicho chombo hata kizimike milele wala sina muda nao kabisa!!
Heri isiwepo kabisa,badala ya tv ya taifa imekua tv ya kusifu na kuabuduTBC Tanzania Broadcast Corporation ambapo zamani ilijulikana kama TvT katika hali ya kustaabisha na kushangaza ulimwengu inasemekana haipo hewani na habari kutoka vyanzo ambavyo bado havija dhibitishwa ni kwamba Maji yameingia ndani ya studio na tangu asubuhi imekuwa ikifanika jitihada ya kuvuta maji hayo bila mafanikio.
Chanzo cha maji hayo ni kile kile kujenga Studio bila kuwa na mipango mikakati wakijua kabisa pale lilikuwa shamba la mpunga, water table ipo karibu na hakuna drainage, sasa wanavuna walichopanda.
Habari zaidi zitawajia baadae baada ya kudhibitishwa.
kura yako mabadiliko yako?Heri isiwepo kabisa,badala ya tv ya taifa imekua tv ya kusifu na kuabudu
Futa ccm na majizi wakekura yako mabadiliko yako?
Mwulize 'Suchu' au 'taifa stars' juzi.Kama imefikia kipindi watanzania tunafutahia majanga basi ujue uzalendo umefika ukomo.
Aridhio ni nzuri sana.Ife kabisa, mi sioni umuhimu wake
Uko sahihi mkuu....Kama imefikia kipindi watanzania tunafurahia majanga basi ujue uzalendo umefika ukomo.
Chanzo ni viongozi wetu hasa wanasiasa