Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka utakuwa unazungumuzia mambo ya mbungi mtonyoMm niliisihia kucheka tu chombo makini kama TBC mnatangaza maswara buku mchongo yaaan haipiti dakika tano mnaambiwa tuma buku uwe mshindi ..pumbafu kabisa yaaan redio ya taifa inatangaza ujinga kama huo kila mda
Bila CCM kuondoka msitegemee kipya. Siyo TBC, ila kila idara na sekta ya umma.Kiongozi atakaye ingia pale, Inabidi aaze upya kabisa(mpangilio wa Vipindi) , sijui hata jina libadilishwe,🤔🤔??, naona na jina lenyewe la TBC limechoka 😀😀
Hoja ni meli inayopaa au sioHakuna hoja hata moja hapo
Nimerudia 6Times najiuliza Mwandishi huyo akili yake ipo sawa kweli.Yule Mwandishi aliposema itaenda hadi Sudan Kusini nikachoka kabisa. Nikawaza labda itachochora kwenye mto Nile hadi Juba 😂😂
wanataka iendane na wakati.........duuh! sijui mi ndo sielewi au ni vipi, nilidhani hapa tunaenda kuona ufujaji wa fedha katika utendaji wa tbc hasa miaka hii miwili mitatu, kumbe bado tunajadili rasimu ya katiba ya 2014 hatukui hata kama Mh Samia atakuwa makamu, tupunguze kukurupuka jamani, pia kubadili kiongozi mmoja sidhani kama ni mkeka labda ingekuwa listi viongozi kadhaa kubadilishwa, hata hivyo Kikeke au yeyote akiletwa hapo TBC haitakuwa Kwa sababu hizo sababu za miaka ya 47.......
Hao akina kikeke na tido ni threat sana hamjui tuu. Hao watu ni open minded na wana exposure ya juu sana na watu wawazi. Sasa TBC inahitaji Funika kombe na wapiga fix kitu ambacho kikeke na tido hawawezi. Acha hao wafia chama akina Ayubu waendeleze mapambio siku ziendeMbona ndiyo channel yangu pendwa sana, napata habari moto moto, pale,system yake isivunjwe Bali iongezewe nguvu zaidi, akina kikeke, pasco, waingizwe, tido muhando awe katika bodi.
Tido alikuwa nyutro, CCM tukaanza kukimbia mijadala maana tumejaza makarai yaliyozoea kubebwa na systeam.Afanye kama tido muhando enzi hizo kwa kuwapa coverage kubwa wapinzani. Midahalo wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu iwepo kwa wagombea wote bila ubaguzi. Kikekeke aje na ubunifu mpya wa vipindi na muonekano mzuri wa tv. Urushaji wa matangazo mubashara toka kwa watangazaji wake walioko mikoani. Usikivu imara wa redio maeneo yote nchini na kuwepo na watangazaji wenye weledi na ufahamu wa mambo mbalimbali kuhabarisha umma
Linajiendesha kwa hasara kubwa, linapata ruzuku, hakuna anayetaka kuangalia na hii iliana 2013 bada ya Ryoba kuligeuza kuwa TAWI LA CCM .Cha kushauri tu, mkurugenzi mpya aanzishe tv mpya ya michezo tu. Tbc ni shirika kubwa linapaswa kuwa na chaneli nyingi za masuala mbalimbali specified tu. Wana chaneli ya wanyama japo wameingiza mambo mengine kama ya utamaduni na jiografia. Mambo ya jiografia yalitakiwa yawe na chaneli yake tu.
Anajua vizuri sana , huyu amesoma shule ya kata na wamefundishwa kusifia mfalme mpaka nguo ziwaanguke.hivi huyo mtangazaji na hiyo meli yake ya kwenda Burundi,Congo na Zambia hajui mipaka ya Ziwa victoria,kafanya kusudi au katuona wanachi vilaza?
kama yule mzee wa ngumi mkononi ndio wanamtegemea kwa mahojiano kwenye media, hao wengine wote ni makarai matupuTido alikuwa nyutro, CCM tukaanza kukimbia mijadala maana tumejaza makarai yaliyozoea kubebwa na systeam.
Wapinzani hata sasa hivi Mpigie simu , Heche, Lema, John Mrema, Zitto, Mbowe kwenye interview anakuja bila kujiandaa na utatamani kipindi kisiishe.
Okota "karai " la CCM , unaweza jikuta unatukana ukweni.
Yawezekana ikawa point hii mkuu... 🙏🙏Bila CCM kuondoka msitegemee kipya. Siyo TBC, ila kila idara na sekta ya umma.