Tetesi: TBC hakukaliki, muda wowote Zuhura Yunus anakuja na mkeka!

Kaz ya uandish ni kaz yankusoma soma sana.ushaur wang.journsliet uwe na tabia yankusoma soma sana vitu mbalimbali kusudi unatanua bongo yako,soma history soma jiograf siasa,makala,articles ili mrad uwe nondo.ukiwa na interviwe fanya research .ngoja weeekend hii tukaonje vitu vya test mliman pale mana sikukuu hii patakua hapatosh.nawapongeza sana redgold mnatuonjesha sana ni strategy ya kibabe sana kama juz had kahawa ilikuwepo kwa jamaa wa kahawa bora
 
Hivi Ryoba bado yupo hapo? Kuna kipindi alilalamikiwa sana akaanza kuwashughulikia watumishi, mmoja wapo ni GZ alishughulikiwa ipasavyo.
 
Yule Mwandishi aliposema itaenda hadi Sudan Kusini nikachoka kabisa. Nikawaza labda itachochora kwenye mto Nile hadi Juba 😂😂
Nimerudia 6Times najiuliza Mwandishi huyo akili yake ipo sawa kweli.


1.Kenya na Uganda ni sawa.
2.Burundi , Congo , Malawi na Zambia Meli hii inapitia wapi?Au kutakuwa na Ramani mpya?
 
wanataka iendane na wakati

Hizo sababu zake ni za kimchongo
 
Mbona ndiyo channel yangu pendwa sana, napata habari moto moto, pale,system yake isivunjwe Bali iongezewe nguvu zaidi, akina kikeke, pasco, waingizwe, tido muhando awe katika bodi.
Hao akina kikeke na tido ni threat sana hamjui tuu. Hao watu ni open minded na wana exposure ya juu sana na watu wawazi. Sasa TBC inahitaji Funika kombe na wapiga fix kitu ambacho kikeke na tido hawawezi. Acha hao wafia chama akina Ayubu waendeleze mapambio siku ziende
 
Tido alikuwa nyutro, CCM tukaanza kukimbia mijadala maana tumejaza makarai yaliyozoea kubebwa na systeam.
Wapinzani hata sasa hivi Mpigie simu , Heche, Lema, John Mrema, Zitto, Mbowe kwenye interview anakuja bila kujiandaa na utatamani kipindi kisiishe.
Okota "karai " la CCM , unaweza jikuta unatukana ukweni.
 
Cha kushauri tu, mkurugenzi mpya aanzishe tv mpya ya michezo tu. Tbc ni shirika kubwa linapaswa kuwa na chaneli nyingi za masuala mbalimbali specified tu. Wana chaneli ya wanyama japo wameingiza mambo mengine kama ya utamaduni na jiografia. Mambo ya jiografia yalitakiwa yawe na chaneli yake tu.
 
Linajiendesha kwa hasara kubwa, linapata ruzuku, hakuna anayetaka kuangalia na hii iliana 2013 bada ya Ryoba kuligeuza kuwa TAWI LA CCM .
Akamfitini TIDO aondolewe kipindi cha mchakato majimboni akaanza kuokota vkina Elizabeth mramba na wengineo.
TBC waliokuwa nyutro wamefariki, sasa hivi kila mmoja aliyeko pale anataka ukuu wa wilaya.
 
hivi huyo mtangazaji na hiyo meli yake ya kwenda Burundi,Congo na Zambia hajui mipaka ya Ziwa victoria,kafanya kusudi au katuona wanachi vilaza?
Anajua vizuri sana , huyu amesoma shule ya kata na wamefundishwa kusifia mfalme mpaka nguo ziwaanguke.
Huyu ana tofauti gani na aliyemuita "shujaa " MUNGU?
 
kama yule mzee wa ngumi mkononi ndio wanamtegemea kwa mahojiano kwenye media, hao wengine wote ni makarai matupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…