Tetesi: TBC hakukaliki, muda wowote Zuhura Yunus anakuja na mkeka!

Tukio la majuzi la Mv Mwanza ndio fungakazi. Mwandishi, bila kupepesa macho wala kutikisa mustachi, ameeleza eti meli hiyo itafika hadi Malawi & Zambia

Tuishie hapa kwa leo
Shirika linalosimamia hizo meli,lina meli zingine katika ziwa Tanganyika ambapo meli kutoka Kigoma itakuwa inaenda Zambia,na Ziwa Nyasa,meli itakuwa inaenda Malawi.
Nahisi mwandishi alisau kuweka ufafanuzi wenye kuunganisha huduma katika Ziwa Victoria,Tanyanyika na ziwa Nyasa.
 
achana na mastori ya hapa na pale. anangolewa kuletwa wa dini yangu
 
Wapigwe tu, hakuna namna!
 
Kwenye maadhimisho ya utunzaji wa misitu na upandaji miti wakiwa Live Same walituandikia kuwa
Dr: Mpango amesema watu Bilioni 10 wanatumia kuni na mkaa.
Nilishangaa sana
 

Attachments

  • IMG_20240321_145722_720.jpg
    3.4 MB · Views: 5
Si unaona Tido naye alitolewa haraka haraka.
 
Itaenda Congo hadi Sudan Kusini duuh

Congo itapaaa?
Sudani Kusini na maporomoko ya Owen Fall itaa chumpa?

Duh TBC Chini ya kiwango kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…