Tetesi: TBC hakukaliki, muda wowote Zuhura Yunus anakuja na mkeka!

Nimeona kikeke na mabegi makubwa matatu au manne airport njiani kuja huku
 
Yule Mwandishi aliposema itaenda hadi Sudan Kusini nikachoka kabisa. Nikawaza labda itachochora kwenye mto Nile hadi Juba [emoji23][emoji23]
Daah nimewaza sana [emoji4][emoji4][emoji848][emoji848]
 
Kheeeeeee meli mwanza hadi Zambia 🤔🤔 au hiyo meli itakua inapaa angani kama ya kwenye the avengers wa marvel studios 😁😁
 
Huyo mbaba mkurugenzi naona kama mlevi sana au macho yangu.?
 
kwani huyo kikwekwe sijui kikeke ndio ataleta impact gani na yeye wale wale tu, haina maana kukaa ulaya BBC ndio unajua kila kitu, kimsingi ni mweupe tu mtu anayeweza kutangaza sio lazima awe kiongozi, tiibiisiisiimeu wana matatizo mengi ya kimfumo hata umweke paka pale anaweza kuongoza kwani wanakua sio wao wanaendeshwa na remote kutoka magogoni.
 
We Sheikh Yahaya, Mzee Wa kuwachafua, uliishia wapi na huu uchafu wako
?
 
4
40k unalipa kila mwezi?
 
Mkuu wafanyakazi wa TBC kuiuzia vifaa TBC sio kosa ACHA wajitafutie kipato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…