Uchaguzi 2020 TBC, hata kama Watanzania wanashindwa la kuwafanya lakini waonesheni heshima kidogo...

Uchaguzi 2020 TBC, hata kama Watanzania wanashindwa la kuwafanya lakini waonesheni heshima kidogo...

Wakati mwingine watangazaji nadhani wanajinyima Uhuru wenyewe kwa kutegemea teuzi
Ninampongeza sana mtangazaji Farhia Middle manake yupo huru kumhoji mwanasiasa yoyote na nimemuona mara kadhaa hana upande
 
Leo Nigeria waandamanaji wamechoma majengo ya radio ya taifa ya nchi yao.
 
Lakini waliwai kurusha matangazo ya chadema mkawafukuza kwenye mkutano wenu pale zakiem mbagala mkuu so acha wafanyekazi na wanaotaka kutangaziwa mikutano yao
Kuna wenzako hii hoja wanapita kimya kimya kwa sababu TBC inawafanya waone aibu. Kama unajua sababu iliyofanya wafukuzwe huwezi andika hilo.
 
Hili ni janga hata watangazaji wa redio nyingi wapo upande wa ccm tena wazi wazi bila aibu, ule umoja wa kitaifa wanaotubilia kila siku sjui ni upi kama mambo yenyewe ni haya , TBC hao ndio walishakuwa btccm kila kipindi ni magu tu
 
Lakini waliwai kurusha matangazo ya chadema mkawafukuza kwenye mkutano wenu pale zakiem mbagala mkuu so acha wafanyekazi na wanaotaka kutangaziwa mikutano yao
Mbona ya vyama vingine tofauti na waliowafukuza hawatangazi.? Chauma, CUf, UDP, ACT hawafanyi mikutano? Don't be lunatic with little analysis capacity binti.
 
Nigeria Broadcasting Cooperation wananchi wamekiwasha moto kwa UPUMBAVU kama wa TBC. Kituo cha utangazaji ambacho ni mali ya umma kimekuwa 'choo' cha CCM ambacho wanaweza kuingia na kutoka kadri wapendavyo.
Duuuu🤣🤣🤣✋✋✋
 
Lakini waliwai kurusha matangazo ya chadema mkawafukuza kwenye mkutano wenu pale zakiem mbagala mkuu so acha wafanyekazi na wanaotaka kutangaziwa mikutano yao
Kwani chama ni CHADEMA tu au wewe ndicho unachojua?????????????????
 
Mara nyingi vyombo vya habari huwa vinarusha habari zile tu ambazo ndiyo matarajio ya wasikilizaji/watazamaji.

MAGUFULI4LIFE.
 
Hii TV 24/7 wanamuonyesha Magu na CCM yake pekee...hata aibu hawaoni wakati mishahara yao ni kodi za watanzania wote. Haya ni mambo ya ajabu kweli na yanapatikana tu kisiwa hiki cha wavumilivu.
 
Nimesikitishwa na kitendo cha TBC1 kutumika kumfanyia kampeni mgombea Urais wa CCM.

Kumekuwa na vipindi kadhaa vya kumpigia kampeni Mgombea Urais wa CCM lakini kitendo cha kuweka vipindi kadhaa wakati huo huo kukiwa na background ya wimbo wa Zuku akiimba wapinzani wanyong'onyee ni kuwakosea Watanzania adabu.

Ni kuwakosea Watanzania adabu kwa sababu pesa ya kuendesha TBC ambacho ni chombo cha umma inatolewa na Watanzania wa vyama vyote ambao hawamuungi mkono huyo Mgombea wa CCM.
Hiyo ndio sura ya magufuli kwa watanzania tusidanganyike kumchagua.
 
Kwa heri Chadema

mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
 
Nimesikitishwa na kitendo cha TBC1 kutumika kumfanyia kampeni mgombea Urais wa CCM.

Kumekuwa na vipindi kadhaa vya kumpigia kampeni Mgombea Urais wa CCM lakini kitendo cha kuweka vipindi kadhaa wakati huo huo kukiwa na background ya wimbo wa Zuku akiimba wapinzani wanyong'onyee ni kuwakosea Watanzania adabu.

Ni kuwakosea Watanzania adabu kwa sababu pesa ya kuendesha TBC ambacho ni chombo cha umma inatolewa na Watanzania wa vyama vyote ambao hawamuungi mkono huyo Mgombea wa CCM.
Ndiyo maana inaitwa TBCCCM
 
Kuna maeneo mengi ambayo wananchi wanatakiwa kuelimishwa, mfano uvuvi, kilimo, afya nk. lakini hili li TV kazi yake imebaki kufanya ugoro ugoro tu..
 
Back
Top Bottom