Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,668
- 3,751
Kuna wenzako hii hoja wanapita kimya kimya kwa sababu TBC inawafanya waone aibu. Kama unajua sababu iliyofanya wafukuzwe huwezi andika hilo.Lakini waliwai kurusha matangazo ya chadema mkawafukuza kwenye mkutano wenu pale zakiem mbagala mkuu so acha wafanyekazi na wanaotaka kutangaziwa mikutano yao
TBC kuna shida usitetee.Watu waliokuwa wakishangalia siku Mbowe akiwafukuza TBC ndio hao hao leo wanailalamikia TBC kufanya siasa za upande mmoja.
It’s for those reasons we are advised to think of the consequences before taking actions.
Mbona ya vyama vingine tofauti na waliowafukuza hawatangazi.? Chauma, CUf, UDP, ACT hawafanyi mikutano? Don't be lunatic with little analysis capacity binti.Lakini waliwai kurusha matangazo ya chadema mkawafukuza kwenye mkutano wenu pale zakiem mbagala mkuu so acha wafanyekazi na wanaotaka kutangaziwa mikutano yao
Wanamlindia heshima yake Lipumba unataka wamuonyeshe mzee wa watu akiwa mpweke uwanjani.TBC kuna shida usitetee.
Sasa mbona kampeni za CUF hawazionyeshagi
Duuuu🤣🤣🤣✋✋✋Nigeria Broadcasting Cooperation wananchi wamekiwasha moto kwa UPUMBAVU kama wa TBC. Kituo cha utangazaji ambacho ni mali ya umma kimekuwa 'choo' cha CCM ambacho wanaweza kuingia na kutoka kadri wapendavyo.
Kwani chama ni CHADEMA tu au wewe ndicho unachojua?????????????????Lakini waliwai kurusha matangazo ya chadema mkawafukuza kwenye mkutano wenu pale zakiem mbagala mkuu so acha wafanyekazi na wanaotaka kutangaziwa mikutano yao
Hiyo ndio sura ya magufuli kwa watanzania tusidanganyike kumchagua.Nimesikitishwa na kitendo cha TBC1 kutumika kumfanyia kampeni mgombea Urais wa CCM.
Kumekuwa na vipindi kadhaa vya kumpigia kampeni Mgombea Urais wa CCM lakini kitendo cha kuweka vipindi kadhaa wakati huo huo kukiwa na background ya wimbo wa Zuku akiimba wapinzani wanyong'onyee ni kuwakosea Watanzania adabu.
Ni kuwakosea Watanzania adabu kwa sababu pesa ya kuendesha TBC ambacho ni chombo cha umma inatolewa na Watanzania wa vyama vyote ambao hawamuungi mkono huyo Mgombea wa CCM.
Ha hahahahahahahaWanamlindia heshima yake Lipumba unataka wamuonyeshe mzee wa watu akiwa mpweke uwanjani.
Ndiyo maana inaitwa TBCCCMNimesikitishwa na kitendo cha TBC1 kutumika kumfanyia kampeni mgombea Urais wa CCM.
Kumekuwa na vipindi kadhaa vya kumpigia kampeni Mgombea Urais wa CCM lakini kitendo cha kuweka vipindi kadhaa wakati huo huo kukiwa na background ya wimbo wa Zuku akiimba wapinzani wanyong'onyee ni kuwakosea Watanzania adabu.
Ni kuwakosea Watanzania adabu kwa sababu pesa ya kuendesha TBC ambacho ni chombo cha umma inatolewa na Watanzania wa vyama vyote ambao hawamuungi mkono huyo Mgombea wa CCM.
Anajua hakuna alichofanyajiwe anajitapa kuwa kafanya maajabu tz lakini ajabu yeye ndio mgombea urais mwenye hofu kuliko hata Hashimu Rungwe!.