Uchaguzi 2020 TBC, hata kama Watanzania wanashindwa la kuwafanya lakini waonesheni heshima kidogo...

CCM yatuma Mashehe Ubwabwa kutisha Wananchi wa Mkoa wa Mara
 
Ulikua unatafuta nn huko mpaka umeona? Mm siangaliagi kabisa
 
Lakini waliwai kurusha matangazo ya chadema mkawafukuza kwenye mkutano wenu pale zakiem mbagala mkuu so acha wafanyekazi na wanaotaka kutangaziwa mikutano yao
Kwa hiyo wanafanya hivyo kwa CUF, ACT, NCCR n.k....maana wametofautiana na Chadema tu?.
 
Visenti vya CCM vinafanya Ayoub Rioba kuikana elimu yake na hekima yake. Huwezi amini kinachotokea na taswira ya Rioba.
 
Kuna kauli moja inasema utakula ulipopeleka mboga ,ivi ninyi huwa mnaelewa nini kubusu hii kauli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…