Mkuu mala ya mwisho kusikiliza mpira kwa njia ya redio ni mwaka gani, maana naweza kuwa nabishana na mtu hata redio hasikilizi, matangazo ya mpira hukatwa mwanzoni mwa kipindi cha kwanza na mwanzoni mwa kipindi cha pili pekee, kinachofuata,mtangazaji huangalia hali ya mchezo, mpira umetoka,mchezo umesimama au hakuna mashambulizi ndipo husoma tangazo (kumbuka hapo hajakata matangazo ya mpira) na ikitokea timu inashambulia alafu anasoma tangazo basi huacha mala moja kusoma ili kusimulia kinachojiri uwanjani. umeelewa sasa?