kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #41
Mara nyingi wapenda mpira wa miguu huwa wanazichukia bidhaa zinazotangazwa kwa aina hii. Kuna vyombo vya kutoa huduma na Kuna vyombo vya kibiashara, TBC ni watoa huduma TU ya kuhabarisha, kufurahisha nabkuelimisha wananchi bila kujali gharama. Sio sawa kuhodhi matangazo ya mpira.Kama ni hivyo, huo ni upuuzi wa hali ya juu.