TBC kukata matangazo ya bunge.: hivi hakuna uwezekano wa kushitakiwa mahakamani

TBC kukata matangazo ya bunge.: hivi hakuna uwezekano wa kushitakiwa mahakamani

juni

Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
87
Reaction score
18
siyo siri tena kwamba TBC hawataki kutangaza habari za chadema na hata wabunge wa chama hicho.

Mara nyingi wabunge wabunge hao wanapozungumza TBC hukata kwa kisingizio cha ubovu wa mawasiliano.

Mfano leo kabla ya hotuba ya kambi ya upinzani TBC walikata matangazo hadi baada ya hotuba hiyo kusomwa.

ninachojiuliza ni kama kuna uwezekano wa kuwashitaki TBC kwa kujifanya chombo cha CCM badala ya taifa kwa kuamua kueanyima habari wananchi habari kinyume na katiba

wanasheria tusaidie na ikiwezekana peleka kesi hiyo mahakamani ushahidi ni mwingi tu
 
wanastahili kushtakiwa na ikiwezekana mkurugenzi wake ashtakiwe
kwa kuwanyima habari wananchi.
TBC sio chombo cha CCM ni chombo cha Watanzania
waige wenzao KBC na tv zingine za taifa
 
Sasa siku ya nishati na madini na ya wizara ya elimu nadhani tbc haitakua hewan kabisa 24 hrs
 
siyo siri tena kwamba TBC hawataki kutangaza habari za chadema na hata wabunge wa chama hicho.

Mara nyingi wabunge wabunge hao wanapozungumza TBC hukata kwa kisingizio cha ubovu wa mawasiliano.

Mfano leo kabla ya hotuba ya kambi ya upinzani TBC walikata matangazo hadi baada ya hotuba hiyo kusomwa.

ninachojiuliza ni kama kuna uwezekano wa kuwashitaki TBC kwa kujifanya chombo cha CCM badala ya taifa kwa kuamua kueanyima habari wananchi habari kinyume na katiba

wanasheria tusaidie na ikiwezekana peleka kesi hiyo mahakamani ushahidi ni mwingi tu

Ni ustaarabu kote katika tasnia ya utangazaji matangazo yanapokatika wasikilizaji/watazamaji hujulishwa na huombwa msamaha kwa usumbufu walioupata. TBC wamefanya hivyo? Kama hawakufanya ni kwa nini? Hawajui kuwa taasisi yao inawajibika kwa walipa kodi ambao ni sisi wananchi?
 
siyo siri tena kwamba tbc hawataki kutangaza habari za chadema na hata wabunge wa chama hicho.

Mara nyingi wabunge wabunge hao wanapozungumza tbc hukata kwa kisingizio cha ubovu wa mawasiliano.

Mfano leo kabla ya hotuba ya kambi ya upinzani tbc walikata matangazo hadi baada ya hotuba hiyo kusomwa.

Ninachojiuliza ni kama kuna uwezekano wa kuwashitaki tbc kwa kujifanya chombo cha ccm badala ya taifa kwa kuamua kueanyima habari wananchi habari kinyume na katiba

wanasheria tusaidie na ikiwezekana peleka kesi hiyo mahakamani ushahidi ni mwingi tu

in theory tbc ni chombo cha taifa,in practice ni chombo cha ccm.huwezi kusikia tbc ikitamka chadema.yaani tbc wanaitii ccm.suluhisho hapa ni chadema kuanzisha tv/radio yake.
 
TBC kinastahili kabisa kunyong'wa hadi kufa. Biased to the core.
 
wanastahili kushtakiwa na ikiwezekana mkurugenzi wake ashtakiwe
kwa kuwanyima habari wananchi.
Tbc sio chombo cha ccm ni chombo cha watanzania
waige wenzao kbc na tv zingine za taifa
lakini huyu mkurugenzi wa tbc anapashwa kutoa maelezo ya kwa nini radio ya wananchi inatumikia chama kimoja????it is absurd !!WANANCHI WANASHANGAA KWA TABIA HIZI ZA ENZI YA CHAMA KIMOJA.
 
upendeleo wanaouonesha ndio kwanza unazidi kuibua yale madhaifu yao ya kiutendaji.
 
Back
Top Bottom