siyo siri tena kwamba TBC hawataki kutangaza habari za chadema na hata wabunge wa chama hicho.
Mara nyingi wabunge wabunge hao wanapozungumza TBC hukata kwa kisingizio cha ubovu wa mawasiliano.
Mfano leo kabla ya hotuba ya kambi ya upinzani TBC walikata matangazo hadi baada ya hotuba hiyo kusomwa.
ninachojiuliza ni kama kuna uwezekano wa kuwashitaki TBC kwa kujifanya chombo cha CCM badala ya taifa kwa kuamua kueanyima habari wananchi habari kinyume na katiba
wanasheria tusaidie na ikiwezekana peleka kesi hiyo mahakamani ushahidi ni mwingi tu