TBC kuonesha World Cup, Azam ndio sterling wa hili picha

Kabisa yani
 
Kwani kuonesha huwa wanatozwa Bei gani na kwann DStv ajidai anapigwa mkwara kwani world cup Ni ya baba ake
 
Hatutaki
 
unszungumzia kitu ambacho kipo zanzibar ila ni azam hao hao mkuu elewa hapo linapokuja swala la uchambuzi unakofanyika ni tabata

So jana nape, msigwa, rioba chacha nao walikua studio za azam kwenye uzinduzi?
 
Hakuna mahusiano hapo kwani kila nchi inaruhusiwa kuonesha baadhi ya mechi za kombe la Dunia kupitia television ya taifa, ispokuwa kwa baadhi ya mechi

Kwa kifupi ni kwamba kuanzia mwaka 2010,2014,2018 na miaka ya nyuma pia kombe la Dunia tumekuwa tukiangalia kupitia television ya taifa, tangu enzi za TVT

Ata mwaka 2018 Azam hakuonesha kombe la Dunia kutokana na Mambo ya haki miliki za DStv na bado wale wasiokuwa na DSTV waliangalia baadhi ya mechi TBC au television ya taifa ya Kenya/Uganda

Azam hana haja ya kuingilia mlango wa uwani kwani huo ni utaratibu wa miaka yote, na sio kwamba TBC itaonesha mechi zote, lahasha kuna baadhi ya game itakubidi tu utafute DStv ilipo

Na ata kama akifanya hivo bado sioni kama atapata faida yoyote ile na sioni kama atampa hasara yoyote ile DStv, Kwa sababu DStv utaangalia mechi zote na kama hiyo haitoshi utaangalia Kwa quality ya juu sana tofauti na ule uchafu wa TBC

Kwahiyo Kwa uelewa wangu Mie sidhani kama kuna uhusiano wowote ule Kati ya Azam na TBC kuonesha kombe la Dunia kwani miaka yote inakuwa hivo sasa Sijui kipi kimebadirika hadi uhisi kuwa Azam ana mkono wake
 
Azam pale wamecover tuu ila ndio penyewe ungecheki ground flow kisha angalia upande wa tv ndio hapo hapo wanapochambulia mechi za ligi kuu za zile za CAF zinazooneshwagwa ZBC 2
Ulipaswa pia kufahamu kuwa TV zote za Serikali huwa zinaruhusiwa na FIFA kurusha baadhi ya mechi za WC na si zote.Hii ipo siku zote.Azam hajafanya chochote hapo
 
Kwani kuonesha huwa wanatozwa Bei gani na kwann DStv ajidai anapigwa mkwara kwani world cup Ni ya baba ake
Dstv ana haki ya kurusha mechi zote 64,hao TBC wamepewa baadhi ya mechi kurusha kwakuwa ni TV ya Serikali kama zilivyo KBC na TV stations nyinginezo za Serikali za mataifa mengine.
 
Umeelezea vizuri sana
 
Dstv ana haki ya kurusha mechi zote 64,hao TBC wamepewa baadhi ya mechi kurusha kwakuwa ni TV ya Serikali kama zilivyo KBC na TV stations nyinginezo za Serikali za mataifa mengine.
labda nikueleze kuwa tbc hawakuwa na mpango wa kuonyesha ila wamepata msukumo na sapoti kutoka azam sijui kama unanielewa.
 
labda nikueleze kuwa tbc hawakuwa na mpango wa kuonyesha ila wamepata msukumo na sapoti kutoka azam sijui kama unanielewa.
Siyo kweli,TBC wamekuwa na huu utaratibu wa kurusha tangu zamani.Je 2018 na 2014 pia ni Azam ndiyo waliwasukuma kurusha?
 
Mnaotumia king'amuz cha azam kuchek kombe la dunia kupitia tbc mjiandae kuna siku hamtaiona mechi

Uhakika tumia king'amuzi cha startimes,wameweka tbc zipo tatu kuna tbc 1,tbc HD na tbc 2,hiyo tbc HD ndo kwa ajili ya mbungi zote za world cup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…