Mzee wa Code
Member
- Sep 23, 2024
- 61
- 91
Serikali kupitia Bunge wapo katika mchakato wa kuifanya Shiriki la Utangazji Tbc Kuwa Taasisi itakayojitegemea na kufanya Biashara, Kwa Mujibu Sheria ya Sasa Tbc inatamburika kama Shirika Ła Seriali linatoa huduma, ambapo linategemea kupata Ruzuku Serikalini
Kwanini Nasema Tbc hawafai kwenda kufanya Biashara ni Kutokana Na Tukio la Kariakoo ambapo Tbc kama Chombo cha Taifa Wafanyakazi wake wanalipwa kwa Kodi za Wananchi lakini wameshindwa kuwa na Matangazo ya Moja kwa Moja (LIVE) au (MUBASHARA) angalau kwa Masaa Matano kwa Siku ili Kuwaonyesha Watanzania Nini Kinaendelea Kariakoo
Lakini Tbc waliona Siku ya Jana Jumapili Waliona Bora Kupeleka Matangazo ya Live kwa Mkuu wa Mkoa Wa Arusha Paul Makonda Kuliko Kuendelea kutupa Taarifa za tukio La Kariakoo.
Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Watanzania sio wanahitaji tu Taarifa Za uokoaji bali wanatakiwa kufaham ni Kinaendelea eneo Lote la kariakoo kwa Ujumla, kuna issue za Usalama, usafiri hali ikoje, aya mambo ayawezi kujuluika bila kuwa na combo cha habari na Tbc ndio kazi yenu hii, ajabu mnawaiga vijana wa mitandao ya kijamii ambao wengi wao ni wageni katika tasnia ya habari
Watanzania wanahitaji habari zaidi za Kariakoo, kama leo hii mnajiendesha kwa Ruzuku ya Serikali, Je Mkiundiwa Sheria Mfanye biashara kama Media Nyingine Nyie simtakuwa hamfiki ata kwenye tukio la Mtu mpaka mpokee malipo AIBU KWAKO RIOBA