TBC, mnaajiri mambumbumbu?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Your browser is not able to display this video.

Nimeshangazwa, kama si kusikitishwa niliposikia hii clip inayo trend mitandaoni.
Meli mpya ya MV Mwanza imeanza majaribio.
Mtangazaji wa TBC kadakia ,ati meli itafanya majaribio na kufika Kenya, Uganda, Burundi, Congo, Malawi na Sudan Kusini.

Nikajuta kuifanamu TBC, kumbe kuna mambumbumbu wengi.
 
How hiyo meli itavuka ziwa moja kwenda jingine tena maziwa yenye sifa tofauti
 
Ulijiridhisha kwa upande wa pili wa aliotaja mtangazaji kuwa walisema zitaenda hizo nchi?

Inawezekana ana report kilichosemwa tu ambapo hapo anakuwa si mbumbumbu ikizingatiwa kataja kabisa nani aliesema hizo habari.
Atakuwa mbumbumbu kama huyo alietajwa hakusema hayo maneno.

Ila baada ya yote haibadilishi ukweli kuwa TBC ni ovyo kabisa.
 
Mkuu usipokuwa na akili za kwako mwenyewe usilaumu mapungufu yako kwa wengine.
 
Advanced technogy inahusu. Hii meli inapaa angani
 

Meli itafika Sudan Kusini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo ndo hali halisi ya watumishi wa umma walivyo! Hili udumu katika ajira serikalini lazima huwe mchawi uroge wenye akili wakimbie ubakie wewe! Ofisi nyingi za serikali watumishi wake ni mbumbumbu!
 
South Sudan, Zambia, Malawi na Burundi itafungwa matairi au ona uwezo wa kupata angani ambao manufacturer hawajatueleza?
Tumshukuru mtengenezaji kwa kuunda meli yenye uwezo wa kupita kokote na kufika popote!
 
Hiyo meli ni ya kisasa duniani ni ya aina yake kwani inao uwezo wa kupaa angani.
 
Nimecheka.mpaka nimeshindwa kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…