TBC, mnaajiri mambumbumbu?

TBC, mnaajiri mambumbumbu?

Ulijiridhisha kwa upande wa pili wa aliotaja mtangazaji kuwa walisema zitaenda hizo nchi?

Inawezekana ana report kilichosemwa tu ambapo hapo anakuwa si mbumbumbu ikizingatiwa kataja kabisa nani aliesema hizo habari.
Atakuwa mbumbumbu kama huyo alietajwa hakusema hayo maneno.

Ila baada ya yote haibadilishi ukweli kuwa TBC ni ovyo kabisa.
Mkuu huyo akili hana huwezi ukawa kasuku kwa sababu ilisemwa hivyo na wewe unarudia bila kujali kwamba kuna makosa yalifanyika

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2948406
Nimeshangazwa, kama si kusikitishwa niliposikia hii clip inayo trend mitandaoni.
Meli mpya ya MV Mwanza imeanza majaribio.
Mtangazaji wa TBC kadakia ,ati meli itafanya majaribio na kufika Kenya, Uganda, Burundi, Congo, Malawi na Sudan Kusini.

Nikajuta kuifanamu TBC, kumbe kuna mambumbumbu wengi.
Yuko serious kabisa 🤣🤣🤣
Au ndo uchawa
 
Ulijiridhisha kwa upande wa pili wa aliotaja mtangazaji kuwa walisema zitaenda hizo nchi?

Inawezekana ana report kilichosemwa tu ambapo hapo anakuwa si mbumbumbu ikizingatiwa kataja kabisa nani aliesema hizo habari.
Atakuwa mbumbumbu kama huyo alietajwa hakusema hayo maneno.

Ila baada ya yote haibadilishi ukweli kuwa TBC ni ovyo kabisa.
Bado ni umbumbumbu hata kama ame m quote mtu, anashindwa kuchanganya na akili zake.
 
Ulijiridhisha kwa upande wa pili wa aliotaja mtangazaji kuwa walisema zitaenda hizo nchi?

Inawezekana ana report kilichosemwa tu ambapo hapo anakuwa si mbumbumbu ikizingatiwa kataja kabisa nani aliesema hizo habari.
Atakuwa mbumbumbu kama huyo alietajwa hakusema hayo maneno.

Ila baada ya yote haibadilishi ukweli kuwa TBC ni ovyo kabisa.
Kwa hiyo hata ramani tu hajui na hata kuuliza kuwa hiyo meli itawezaje kuf8ka Zambia,Sudan kusini ,kongo.na Burundi?

Halafu linavyotangaza ujinga wake kwa kujiamini aisee

Huyu mtangazaji atangazwe kuwa janga la kitaifa na mjinga namba moja wa mwaka 2024 kitaifa
 
Kwa hiyo hata ramani tu hajui na hata kuuliza kuwa hiyo meli itawezaje kuf8ka Zambia,Sudan kusin8 ,kongo.na Burundi?

Halafu linavyotangaza ujinga wake kwa kujiamini aisee

Huyu mtangazaji atangazwe kuwa janga la kitaifa na mjinga namba moja wa mwaka 2024 kitaifa
Kweli kabisa, umbumbumbu wa aina hii ni janga kubwa kwa Taifa.
 
Kwani mombasani sio Kenya ?na Kuna bahari sio!?Malawi Kuna ziwa pale,hizo nyingine sijui mkuu fanya utafiti ujue kwanza kabla ya kukurupuka
 
View attachment 2948406
Nimeshangazwa, kama si kusikitishwa niliposikia hii clip inayo trend mitandaoni.
Meli mpya ya MV Mwanza imeanza majaribio.
Mtangazaji wa TBC kadakia ,ati meli itafanya majaribio na kufika Kenya, Uganda, Burundi, Congo, Malawi na Sudan Kusini.

Nikajuta kuifanamu TBC, kumbe kuna mambumbumbu wengi.
Shida watangazaji wote ni machawa wapo kimaslahi kusifu tu mpka anapitiliza
 
Kwani mombasani sio Kenya ?na Kuna bahari sio!?Malawi Kuna ziwa pale,hizo nyingine sijui mkuu fanya utafiti ujue kwanza kabla ya kukurupuka
Mkuu wewe ndo umekurupuka, Ziwa Victoria lipo Kenya, Uganda na Tanzania tu. Na meli kubwa huwa hazihamishwi Ziwa zinatengenezewa hapohapo. Kwahiyo hiyo meli na ukubwa wake haiwezi kwenda nje ya TZ, Ug na Kenya. Hii ni elimu ambayo mtoto wa darasa la 7 aliyewaelewa walimu wake ana uelewa nayo. Leo hii unadai Malawi Kuna Ziwa meli itafika!?,au na wewe ndo kama mtangazaji wa TBC!?
 
Huyo atakuwa ndio mtangazaji mwenyewe🤣🤣🤣🤣 hakika uku ni kupatwa kwa TBC Taifa
 
Back
Top Bottom