Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana
Hakika; maana hata kama alikuwa ananukuu taarifa iliyokuwa imetolewa na mamlaka ya meli husika, alipaswa kugundua hitilafu hiyo na kupata ufafanuzi kutoka kwa wahusika; ni moja ya majukumu yake ya msingi, ili awasiliane taarifa sahihi kwa umma; uko wapi hapo Ukweli na Uhakika?Mijamaa hapo tiibisii haitaki kushughulisha skili.
Pengine aliyekuwa akitangaza ni Dr Ryoba mwenyewe!!!!!Hakika; maana hata kama alikuwa ananukuu taarifa iliyokuwa imetolewa na mamlaka ya meli husika, alipaswa kugundua hitilafu hiyo na kupata ufafanuzi kutoka kwa wahusika; ni moja ya majukumu yake ya msingi, ili awasiliane taarifa sahihi kwa umma; uko wapi hapo Ukweli na Uhakika?
Angeletewa taarifa inayosema kwamba Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Malawi ingeisoma hivyohivyo hewani?
Mkurugenzi wa TBC Dr. Ryoba, baadhi ya watumishi hapo wanakuangusha!
Tanzania ya connectionView attachment 2948406
Nimeshangazwa, kama si kusikitishwa niliposikia hii clip inayo trend mitandaoni.
Meli mpya ya MV Mwanza imeanza majaribio.
Mtangazaji wa TBC kadakia ,ati meli itafanya majaribio na kufika Kenya, Uganda, Burundi, Congo, Malawi na Sudan Kusini.
Nikajuta kuifanamu TBC, kumbe kuna mambumbumbu wengi.
Mtangazaji alikuwa anatania jamani.View attachment 2948406
Nimeshangazwa, kama si kusikitishwa niliposikia hii clip inayo trend mitandaoni.
Meli mpya ya MV Mwanza imeanza majaribio.
Mtangazaji wa TBC kadakia ,ati meli itafanya majaribio na kufika Kenya, Uganda, Burundi, Congo, Malawi na Sudan Kusini.
Nikajuta kuifanamu TBC, kumbe kuna mambumbumbu wengi.
TBC, inahitaji mapinduzi, kuazia ngazi za uongozi mpaka wakipa chai...
Wapo humuTBC, inahitaji mapinduzi, kuazia ngazi za uongozi mpaka wakipa chai...
Yawezekana baadhi ya taarifa, zinatangazwa na WAPIGA DEKI wakishirikiana na WAPIKA CHAI 😁😁.
• Tunatumia Saikolojia, mtu ukimtania kuwa hajaoga, Alafu akaleta ukali juu ya hilo ujue ni kweli hajaoga... 😀😀. (Wapika chai + wapiga deki )Wapo humu
Ngoja wakudake alafu wakukanye 😂😂😂😂😂😂😂😂
Aliteleza jamani• Tunatumia Saikolojia, mtu ukimtania kuwa hajaoga, Alafu akaleta ukali juu ya hilo ujue ni kweli hajaoga... 😀😀. (Wapika chai + wapiga deki )