TBC, mnaajiri mambumbumbu?

Zamani waandishi waliandika script na kuifata siku hizi muandishi anaongea kama mashine majina anatamka vibaya maneno anatamka vibaya hata haja cross check mambo yamekuwa mengi sana
Wanaiaibisha taasisi kongwe kama TBC.
 
Ni kweli meli inaweza fika kote huko.

Mleta mada ndio sio muelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…