Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Kwanini mmeficha kitendo cha Rais kukabidhiwa fomu live? Au kiherehere cha wale wanaojiita usama wa Taifa? Huyo ni Rais wetu siyo wao
Wakionyesha Samia anachukua fomu, watatakiwa kuonyesha na vyama vingine vyote vinavyochukua fomu.Kwanini mmeficha kitendo cha Rais kukabidhiwa fomu live? Au kiherehere cha wale wanaojiita usama wa Taifa? Huyo ni Rais wetu siyo wao
Vyama vya Upinzani? 🐼🥷Wakionyesha Samia anachukua fomu, watatakiwa kuonyesha na vyama vingine vyote vinavyochukua fomu.
Hawataki kuwapa nafasi vyama vya upinzania, hivyo wameona ili kuweka mzani sawa.
Mkuu una roho mbaya....kosa la TBC ni lipi mpaka unawasemea vibaya?Kwanini mmeficha kitendo cha Rais kukabidhiwa fomu live? Au kiherehere cha wale wanaojiita usama wa Taifa? Huyo ni Rais wetu siyo wao
Vinatambulika hivyo.Vyama vya Upinzani? 🐼🥷
Matusi ya aina hii yana reflect utu wa hovyo kupitiliza, kulikuwa na haja gani?Baada ya hapo, Pole pole atasafishwa mtaro wake kwa miti ya miba
Eh acha ukichaa na upumbavu, una uhakika tukio halijaenda hewani?Kwanini mmeficha kitendo cha Rais kukabidhiwa fomu live? Au kiherehere cha wale wanaojiita usama wa Taifa? Huyo ni Rais wetu siyo wao
Wanaona kama haitoshi....kumbe tbc wenyewe wanaona tukio halina mvutoMbona mzigo ulikua live wakuu 😁🤣 au mnatumia tv gani huko
Ndege tayari inachanja mbuga kwenye runway 😁, ni muda wa kuface reality tuWanaona kama haitoshi....kumbe tbc wenyewe wanaona tukio halina mvuto
Ndio hapo sasa wanalazimisha tbcNdege tayari inachanja mbuga kwenye runway 😁, ni muda wa kuface reality tu
Kuna tusi gani hapo?Matusi ya aina hii yana reflect utu wa hovyo kupitiliza, kulikuwa na haja gani?
Baada ya hapo, Pole pole atasafishwa mtaro wake kwa miti ya miba