TBC ni kituo cha kwanza duniani kuwa na studio yenye jiko

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Wadau habari zenu !!

Siku ya leo majira ya asubuhi nilioata wasaa wa kutazama chombo chetu cha habari cha taifa TBC TV katika hali ya kustaajibisha leo nikaona studio yao ina jiko kitu ambacho nimekiona cha ajabu sana,.

Nimebahatika kutazama vituo kadhaa vikubwaa mfano CNN, BBC, Al jazeera, SABC, Sky Newz, hiki kitu sijawahi kukiona kabisaaa.

Wadau naomba nililete kwenu mlione maana naona ni kitu cha utofauti sanaa lkn naona pia kina wafanya watangazaji wakose focus wanapokuwa studio halkadhalika na wageni wanao waalika pia maana mtu anakabidhiwa kombe la kahawa sijui chai kisha akachukue kitafunwa kisha aanze kutafuna pande la muhogo huku anaongea ni wazi ipo siku mtu atakuja kupaliwa pale studio atazirai na itakuwa kasheshe hapo studio
Your browser is not able to display this video.
 
Hujui kama kula ni uhai acha wapike ili wale na wapate nguvu
Mbona huko maofisini kwenu Kuna majiko na mmeajili wapishi
Au watangazaji wao hawaruhusiwi kula au wao hawaendi chooni

Unaishi Dunia gani boy
 
Umesahau kuweka namba yako ya simu,unaweza kulamba teuzi hata ya kufagia
 
Tangu aondoke rioba hapo ni
vituko kipindi hakijulikani Kama ni jambo au Cha mapishi halafu kuna huyo annual mlafi yeye kasimama karibu na maandazi yanavyopi
kwa midume mizima inakula maandazi badala ya mihogo pambafu
 
Yani sisi wabongo kwa mambo ya kulakula tuu. Laiti tungekuwa na huu weledi na uhodari wa kufakamia misosi kwenye kufanya kazi kwa bidii tungekuwa mbali.
 
Tangu aondoke rioba hapo ni
vituko kipindi hakijulikani Kama ni jambo au Cha mapishi halafu kuna huyo annual mlafi yeye kasimama karibu na maandazi yanavyopi
kwa midume mizima inakula maandazi badala ya mihogo pambafu
Oohooooo
 
😂😂😂😂
 
Ni ubunifu tu...Embu tuwaache wafanye tuone...wakishindwa wataondoa
 
Hizo ndo akili za Maccm wanawaza kula tu, Ili wakishashiba waanze kusifia na kupayuka
 
Wabongo kwa kula huwajui, studio ina mashangingi kibao lazima yapike vile kwao hawana muda wa kuweka makalio chini
 
Naona leo wanakula mihogo hahaha Hawa vijana huyo anuali mpaka anachapia maneno akili yote kwenye Kula concentration hakuna
 
Ndiyo maana ukiwakuta wote wamefutuka! Yaani siyo wanaume, siyo wanawake! Muda wote yanawaza kula tu na kuiimbia ccm mapambio.
 
Tangu aondoke rioba hapo ni
vituko kipindi hakijulikani Kama ni jambo au Cha mapishi halafu kuna huyo annual mlafi yeye kasimama karibu na maandazi yanavyopi
kwa midume mizima inakula maandazi badala ya mihogo pambafu
Rioba ashasepa TBC?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…