Afrikasana
JF-Expert Member
- Oct 27, 2021
- 320
- 288
Mashangingi tena? Bwashee umeharibuWabongo kwa kula huwajui, studio ina mashangingi kibao lazima yapike vile kwao hawana muda wa kuweka makalio chini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashangingi tena? Bwashee umeharibuWabongo kwa kula huwajui, studio ina mashangingi kibao lazima yapike vile kwao hawana muda wa kuweka makalio chini
Kama kaondoka afazari manaake hakuwa mbunifu kabisaYap kaondoka
Kumbe Rioba hayupo?Tangu aondoke rioba hapo ni
vituko kipindi hakijulikani Kama ni jambo au Cha mapishi halafu kuna huyo annual mlafi yeye kasimama karibu na maandazi yanavyopi
kwa midume mizima inakula maandazi badala ya mihogo pambafu
Ni kawaida sana tena kajiko ka TBC ni kadogo tu halafu ka kishamba.Wadau habari zenu !!
Siku ya leo majira ya asubuhi nilioata wasaa wa kutazama chombo chetu cha habari cha taifa TBC TV katika hali ya kustaajibisha leo nikaona studio yao ina jiko kitu ambacho nimekiona cha ajabu sana,.
Nimebahatika kutazama vituo kadhaa vikubwaa mfano CNN, BBC, Al jazeera, SABC, Sky Newz, hiki kitu sijawahi kukiona kabisaaa.
Wadau naomba nililete kwenu mlione maana naona ni kitu cha utofauti sanaa lkn naona pia kina wafanya watangazaji wakose focus wanapokuwa studio halkadhalika na wageni wanao waalika pia maana mtu anakabidhiwa kombe la kahawa sijui chai kisha akachukue kitafunwa kisha aanze kutafuna pande la muhogo huku anaongea ni wazi ipo siku mtu atakuja kupaliwa pale studio atazirai na itakuwa kasheshe hapo studio
View attachment 1996736
Kuna vipindi vya mapishi na morning breakfast, hivi ni lazima vionekane kwenye mazingira ya jikoni au mesi.Wadau habari zenu !!
Siku ya leo majira ya asubuhi nilioata wasaa wa kutazama chombo chetu cha habari cha taifa TBC TV katika hali ya kustaajibisha leo nikaona studio yao ina jiko kitu ambacho nimekiona cha ajabu sana,.
Nimebahatika kutazama vituo kadhaa vikubwaa mfano CNN, BBC, Al jazeera, SABC, Sky Newz, hiki kitu sijawahi kukiona kabisaaa.
Wadau naomba nililete kwenu mlione maana naona ni kitu cha utofauti sanaa lkn naona pia kina wafanya watangazaji wakose focus wanapokuwa studio halkadhalika na wageni wanao waalika pia maana mtu anakabidhiwa kombe la kahawa sijui chai kisha akachukue kitafunwa kisha aanze kutafuna pande la muhogo huku anaongea ni wazi ipo siku mtu atakuja kupaliwa pale studio atazirai na itakuwa kasheshe hapo studio
View attachment 1996736
Unacheza na JK weweRioba ashasepa TBC?!
Kwa hiyo ata vipindi vya afya navyo viwe na ka dispensary ndani ? 😆😆😆😆 Mkuu una chekesha ..ile jiko ipo ndan ya studio ..Kuna vipindi vya mapishi na morning breakfast, hivi ni lazima vionekane kwenye mazingira ya jikoni au mesi.