TBC ni kituo cha kwanza duniani kuwa na studio yenye jiko

Yap kaondoka
Kama kaondoka afazari manaake hakuwa mbunifu kabisa
Wee television ya taifa inakosa tamthilia ya kibongo yaani wanashindwa kuinua Sanaa ya maigizo

Namkubari Sana Tido Kwani nimbunifu Sana ndiyo maana Azam tv inashine Kila iitwayo leo
 
Aiseee kumbe TBC bado ipo!!!!

Kumbe kuna watu wanakaa kabisa na kuangalia TBC
 
Tangu aondoke rioba hapo ni
vituko kipindi hakijulikani Kama ni jambo au Cha mapishi halafu kuna huyo annual mlafi yeye kasimama karibu na maandazi yanavyopi
kwa midume mizima inakula maandazi badala ya mihogo pambafu
Kumbe Rioba hayupo?
 
Ni kawaida sana tena kajiko ka TBC ni kadogo tu halafu ka kishamba.
 
Kuna vipindi vya mapishi na morning breakfast, hivi ni lazima vionekane kwenye mazingira ya jikoni au mesi.
 
Kwenye jiko sijaona shida ila uyo mtangazaji mikono mfukoni mda wote sio poa kabisa.
 
Naona hicho kipindi cha Jambo, ni vurugu tupu!
 
Kuna mmoja kajimwagia chai ya Moto kwenye korodani aise kaacha kutangaza waendeleee tu na kuweka pombe hapo....wakate maunoo
 
Kuna vipindi vya mapishi na morning breakfast, hivi ni lazima vionekane kwenye mazingira ya jikoni au mesi.
Kwa hiyo ata vipindi vya afya navyo viwe na ka dispensary ndani ? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Mkuu una chekesha ..ile jiko ipo ndan ya studio ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…