mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Wameona Mbatia anatema cheche wamekata matangazo na kutupeleka kwa rungwe
Hivi wataacha lini huu uhuni?
Hakuna anaetaka kumsifia jiwe tena nchi hii
Update
Rungwe kwanza kuongelea juu ya ulafi wa serikali kutoza Jodi maiti wamekata na huko
Hawa majamaa hawaaminiki kabisa
I
Hivi wataacha lini huu uhuni?
Hakuna anaetaka kumsifia jiwe tena nchi hii
Update
Rungwe kwanza kuongelea juu ya ulafi wa serikali kutoza Jodi maiti wamekata na huko
Hawa majamaa hawaaminiki kabisa
I
Nimekereka sana TBC na ITV wote wanaonesha CHAUMA na kwa nini TV nyingine isingebaki inaonesha NCCR MAGEUZI tunanyimwa uhuru , nchi hii imekuwaje miaka hii.
Wapwa
TBC mnahaha kumfurahisha mgombea wenu lakini nature inakataa kabisa, waacheni wagombea waongee ukweli
Naangalia hapa mkienda NCCR watu wanatema cheche, mkirudi Chauma, hashimu rungwe ndo balaa.
Mpaka mnakuja na sababu za uongo, mara ooh kuna matatizo ya sauti
Natamani siku mkienda tena chadema wawafukuze tena au ikiwezekana wapinzania wote waisusie TBC
TBC msitegemee kuna mgombea atapanda jukwaani asiongee ukweli.
Ndugu zangu wana jukwaa;
Awali ya yote,wengi wetu tunafahamu juu ya uhuni unaofanywa na TBC.
Uhuni huo,ni wa kukata sauti pindi wapinzani wanapoongea hoja nzito dhidi ya chama tawala.
Walianza kwa CHADEMA.
Na leo wanaendeleza uhuni huo dhidi ya NCCR na CHAUMA.
Hii si sawa!!
TBC imekuwa ni chombo cha habari huni.
Pongezi kwenu Chadema kwa hatua mlizochukua.